MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani.
Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na ubunifu. Katika vitu ambavyo huwa tunadanganywa ni kwamba kila mwanadamu anaweza kuwa mbunifu au kiongozi. Huu ni uongo wa hali ya juu mno ambao ndiyo unaitafuna Afrika isiendelee. Wanasiasa wako wengi lakini, ni waongeaji watupu wasiokuwa na uwezo mkubwa kiutendaji na kiubunifu.
Tunaiga demokrasia za Magharibi, ila ukweli mchungu ni kwamba demokrasia za kule zilifanywa na watu waliothibitishwa na jamii kuwa na uwezo wa kiuongozi (Aristocrats). Uingereza, watoto wenye akili walisomeshwa shule za kanisa, halafu wakapelekwa vyuo kama Oxford na Cambridge. Miaka zaidi ya 100, Waziri Mkuu wa Uingereza alikuwa hatoki nje ya chuo cha Oxford. Walivyoacha huu utaratibu wakaanza kupata majanga.
Vivyo hivyo Marekani, walitengeneza mfumo maalum wa kupata viongozi ambao ndiyo umeisaidia Marekani kufika hapa ilipo. Walipoacha huu mfumo na kuanza kuleta mambo ya haki sawa na kujaza kila mwanamke na mweusi kwenye mfumo hata wale ambao hawana uwezo ati kisa kuleta usawa, ndiyo sasa wanakinywea.
Hata hapa Tanzania ukianza kufuatilia vizuri ni kwamba wale waliosomeshwa na mkoloni, mbali tu na kupewa upendeleo, ila kiukweli MOST WERE INTELLECTUALLY SUPERIOR. Watanzania ambao Nyerere aliwakuta wako sekondari za mkoloni walikuwa ndiyo THE FINEST OF ALL TANZANIANS/TOP BRASS YA NCHI. Wajamaa walipoanza kuleta UPUUZI wa kusema kila mtu ni sehemu ya serikali ndiyo matatizo ya muda mrefu yakaanza. Ukweli ni kwamba wengi wanaweza wakaenda shule hata kupata Division I, wakawa hodari wa kuzungumza au kujenga hoja lakini hawawezi kuongoza. Being a Good Leader is a Genetic Gift Not Everyone is Born With.
Ndugu zangu watanganyika ni lazima hili tulifahamu vizuri, UONGOZI SIYO ASALI KILA MTU AKALAMBA. Wengine sisi ni watandaji wazuri ambao tunatakiwa tuajiriwe au tujiajiri kwenye kada za sheria, afya, uchumi na burudani ili tusogeze uchumi mbele. Najua hili litawakera wengi, ila ukweli ni kwamba watanzania wengi ambao ni viongozi waandamizi hawakutakiwa kabisa kushika nyadhifa.
Watoto na Wajuu wengi wa machifu wa kiasili waliweza kuwa watawala wazuri kuliko watu ambao kwao hakuna historia ya uongozi. Mkoloni alilifahamu hili vizuri ndiyo maana akaanza kuwatumia katika kuwatawala Waafrika wenzao. Kiukweli, tunakwama sana pale ambapo tunaamini kila mtu maarufu anaweza akawa mbunge.