Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Ngoja nisubiri mpambano wa Waafrica wa Kimanzichana na Waarab wa Kilwa...
 
Hao ni watu wasio na akili timam
 
Kwanza wao ni Wa Barbar walioarabishwa.sio Waarabu.
 
Ila hawakujitoa umoja wa Africa kwa sababu walisema wao siyo Waafrica, walijitoa sababu nchi nyingi za Africa zilitaka Western Sahara wawe huru wakati Moroco wao wanasema sehemu hiyo ni eneo lake hivyo haiwezi kuwa huru.

Hata kutaka kujiunga na EU ilikuwa mbinu tu ya kutaka kuwa karibu na EU (nchi gani haipendi kuwa karibu na EU?). Hili limewasaidia sana Maana Moroco wanapewa hela na misaada ili kupunguza wimbi la Wamoroco wanaozamia Ulaya

Nchi karibu zote za Africa ni masikini kulinganisha na nchi za EU hivyo kwa namna moja zinategemea sana EU sapport na hii ni zaidi sana kwa nchi zinazopakana na EU
 
Na Morocco walifikia hatua ya kuomba kujiunga na Ulaya mwaka 1987. Kwamba wanajihisi kuwa wazungu zaidi ya Africa.

Wazungu waliwagomea ndo wakaanza kujileta Africa, hata hivyo, bado wanaegemea uarabu zaidi ya uafrika.
Mkuu hiyo ilikua na baada ya AU kuitambua Jamhuri ya Sahrawi na kuipa uanachama kwenye AU.

Morocco wakadai wanafanyiwa isivyo haki na wala halikuwa suala la ‘identity’

Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi
 
Na tuone kama watafika popote!
Binafsi sipendi mpira, wala huwa sina muda wa kuangalia. Ila siku ile nimejikaza nikaangalia na maombi juu nikijua walao Afrika tunaenda kuonekana katika ulimwengu wa soka kumbe sivyo!
 
Kuna watu wanajifanya ni waarabu na waumini wa dini ya mnyazimungu🤔
Morogoro kaskazini STRUGGLE MAN
 
Asante brother , comment bora sana kwangu kuwahi kukutana nayo.
 
Wanaigeria walivyokua wanawashobokea huko twitter kisa walikua wanacheza wimbo wa Burna boy naona ujumbe wameupata, eti Morocco ipo west Africa hata aibu hawana,waAfrica weusi tujifunze kubalance shobo kwa hawa waarabu koko,wengine washanza kuwaombea wafungwe huko na Portugal [emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Ndiyo maana waislam wanadharauliwa na dunia, ni wabibafsi, washamba, elimu duni. Sasa wako bara lipi. Wakati wa kutafuta makundi ya nchi za kuwakilisha mabara wao walikuwa bara gani. Wamejidharaulisha sana.
 
Bora kutupiwa ndizi kuliko kuwa karibu na nusu shetani/arabs
Mie hao wote naona wote tu wanatudharau..
Akiniheshim namheshmu
Akinidharau namdharau..
Haina haja kupanic sanaaaa tunawapa ukuu usio na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…