Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Sifàhamu ,ila ukicheza kama mazoezi kwa kujiweka fiti katika mazingira mazuri hakuna uharamu .Mpira wa kileo Man U ,Liver ,Simba na Yanga umezungukwa na mambo mengi haramu ,ya upuuzi na hovyo ulivyo huu uzi..
Kwa maoni yangu mpira wa ushindani ni haraam. Mnapaswa kuacha kucheza. Huwezi tenganisha mpira wa kileo na kamari na maovu mengine
 
Ndo maana sikutaka morocco wapite
 
Hata kama ndio watunawe sisi wagagagikoko?
 
Kwa maoni yangu mpira wa ushindani ni haraam. Mnapaswa kuacha kucheza. Huwezi tenganisha mpira wa kileo na kamari na maovu mengine
Ni sawa kabisa,Final ya UEFA Real Madrid Vs Liverpool kuna mdada katrend alikuwa anacheza jukwaani uchi kuburudisha watazamaji ,ushoga ,kamari ,Pombe nk ..
 
Kwani wanashindania nini
Yani wameshinda nini kwa sababu bado mashindano hayajaisha
Na watu wanashindania kombe
Lakini pia sisi tunafahamu kuwa wale siyo wa Afrika timu zetu tunajua zimeshatolewa
 
Kwani wanashindania nini
Yani wameshinda nini kwa sababu bado mashindano hayajaisha
Na watu wanashindania kombe
Lakini pia sisi tunafahamu kuwa wale siyo wa Afrika timu zetu tunajua zimeshatolewa
Kuna ushindi na ubingwa. Morocco walishinda mechi ya jana. Wakishinda mechi zao zote watatawazwa kuwa mabingwa wa kombe la dunia
 
Jamani hii ni first Arab team na sio First African team
 
Kwa hiyo wewe ni mja wa laana? Mimi na uzao wangu ni wabarikiwa. Weee endelea kulaanika wakati wenzako tunajiambatanisha na kujifungamanisha na baraka
 
Kwa nini unaposha? Maelezo uliyotoa ni tofauti na alichoandika.
 
Mbele kwa mbele kwani hata wasipoitwa wa Africa, hawanyi?.

Au ukiwa muumini wa hyo dini, haufi? na ukifa hauozi?.
 
Wapi ametaja kwa ajili ya Africa
Morocco coach Walid Regragui said African nations have shown they are not “sub par” at the World Cup - and tipped one to go on to lift the trophy.

Rugraagui’s side need a point from Thursday's encounter against Canada to make it through to the knockout stage and join fellow African nation Senegal.


For the first time in World Cup history, all five African nations at the tournament are led by African coaches, with Rugraguai claiming they have shown they are equal to the very best countries from Europe and South America,

“Obviously, Morocco is my priority,” said Rugragui. “But we’re also African, as Senegal are, as Ghana are, as Cameroon and Tunisia are, so we hope to fly the flag of African football high. Often, we’ve been described as being ‘sub-par’, that somehow African football wasn’t as good as elsewhere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…