Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

UShindani ni mkubwa sana, imagine mwanamke wa miaka 40 nae yupo sokoni kucompete na binti wa 17 yrs.
Eg. Paula na mama yake.

Hapo lazima soko liwe gumu, hao 40s wakiona soko gumu sana wao sasa ndio wanawahonga wanaume, hapo wanawawekea kauzibe teenagers, teenagers nao sasa wamebwinu mbwinu ya kuvaa kimitego bila kujali umri wao , alooo ngoma ni nzito acha tujilie tu sie.
 
Cant answer for him. But wanawake miaka ya nyuma they were different. Hakuwa na un realistic standards walionazo hawa wa sasa.
Wajuvi wa mahusiano wanakwambia most men are invisible to women..

Modern women bana, hehehe mwanaume niwe the so called "type yake" niwe tall, handsome, niwe na hela, gari, nyumba, niwe generous kwenye kuhonga, and that's not enough still awe na hisia na mm, wenyewe wanaita moyo, bado mm ndio nina jukumu la kumfuata na kumtongoza, hee Detective J
 

Thats what i said. Unaona hivyo vitu vyote wanataka , halaf wakishaingia to your life they offer a very little.
80% of effort ya mwanaume over unrealistic ideas.
Sio kwamba man are invisible, just undervalued.
Mwanamke anakuja ku value mwanaume pale soko lake linaposhuka
 
Umesahau pia kuna mashoga nao wanakaba wapate wanaumd hao hao.
 
Wangu ananifanyia hivo vyote na zaidiiiii huyu mwanaume ni dhahabuu ni luluuuuu he's so ameizing he's so unique!!!!!

Abarikiwe sana na aishi miakaa mingiiii Amin!!
 
Polesana mtoa mada kama ndivyo halibilivyo km ulivoeleza basi mie niseme alhamdulillah 🙏🙏🙏Sina gundu 🤣
 
ILE 50/50 MLIYOITAKA NDOO HII MPALANGANE NAYO SASA, NA MSIJE MKATINGISHIKA SINDANO ITAKATIKIA KWENYE TAKO MTULIE HIVYO HIVYO DAWA IINGIE.
 
Na Sisi TUTAKUWA tunawadekia
 
Hata sasahivi wanaoleka na wanaishi
 
Wanawake wa kizazi hiki ni wabinafsi sana,shida ni yako Raha ni ya wote,kwenye shida wanakuacha,akikosa soko akavumilia hakuna rangi utoacha kuona.
Wamekuwa ni wajasiliandoa na Sio wasaidizi,wao wanataka waolewe lakini waishi kama awajaolewa.
Mbona hata zamani ilikuwa ivo Ivo
Waulize wahaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…