Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Tumekusikia Shishi food
 
Mama Pretty unaendeleaje kipenzi?
 
Asante sana kwa kunitia moyo. Mungu akubariki🙏
Binadamu tupo kwaajili ya kusaidiana pale panapobidi zaidi sana piga moyo konde, jua kuwa ipo njia ya kutokea. Ni mapito tu ya muda ila na mbele kuna faraja na uso wako utajazwa na tabasamu na kusahau yaliyopita. Takupenda sana mama Pretty
 
Asante dear.. haswa ukiwa first born..

😁😁😁 kuzaa raha momy… labda muda wako haujafika
Mimi sio first born ni last born lakini naishi kama first born aiseee..!! 😥

Kuzaa kiumbe ambacho hakijakuomba na kukileta nchi kama Tanzania ni huzuni kwa huyo mtoto..!! Mi naomba niwachie nyie mzae tu..!!

Mi nitalea watoto wa ndugu sababu wamejikuta tu wapo bongo bila kutarajia..!!
 
Kazalie marekani basi babe watoto wasiteseke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…