Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Yooo 🥹🥹 pole mama ningekua karibu ningeku hug 🫂 tungelia pamoja weee mpka uchungu ulionao upungue

Pole kipenzi kubali kama umeumia na uanze kupona taratibu

Ni kwa muda tu utahisi hivyo lakini yatapita maa ♥️
 
pole sana unamengi mazito umepitia ndo maana unamtazamo huo kuelewa siyo rahisi
 
Pesa haitoshi kuleta amani maishani
 
Chai
 
Nisahihi mwali, na mwanaume anae kupenda kamwe hawezi akakuvuruga ingawa mikwaruzano ya hapa na pale lazima itakuwepo...🤗
Kabisa… kogongana vinagongana vikombe.. vipi kwa binadamu
 
Niseme nisiseme. Acha niseme tu kuwa kufa ku wengne watazaliwa. Jitu zima unalilia kumbatio tena jf shenz kabisa kwan tulikutuma. Tunapambania katiba mpya wewe unaleta za ovyo shenzi r.i.p. Ukichukia nifate huku huku
 
Asante dear.. haswa ukiwa first born..

😁😁😁 kuzaa raha momy… labda muda wako haujafika
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…