Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

Ni kweli sitakata tamaa🙏
 
Sitakata tamaa🙏
 
Asante sana mtumishi.. ni kweli kuna muda nimeonea wivu maiti! Lakini saaa nitasimama sitakata tamaa🙏
 
Ni kweli kila kitu kitakua hisoria
 
Yooo 🥹🥹 pole mama ningekua karibu ningeku hug 🫂 tungelia pamoja weee mpka uchungu ulionao upungue

Pole kipenzi kubali kama umeumia na uanze kupona taratibu

Ni kwa muda tu utahisi hivyo lakini yatapita maa ♥️
Asante dear. Natamani uishe kabisa🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…