Hivi kwa nini makampuni mengi ya kuagiza magari hawana ofisi jiji la Mwanza?

Ni Dar, Arusha, Dodoma.

Last time I checked ilikuwa ni Beforward pekee!
 
Hii gari nimeona kuna mwamba juzi mitaa ya kimanga same car same color na namba pia ni recent. Kwa muonekano mbele ni zuri ila huku nyuma ndio wameifanya iboe.
Wameibinua sana they could have let it be on a proportional height kama Aristo tu. Wenye nazo mlete ushuhuda kama hizo figure ni halisi au ndio zinapimwa gari ikiwa 0 kms tu. Maana lazma hapo hio itakuwa imesaga zaidi ya 100,000kms.
 
Safi
 
Naomba ufafanu I juu ya Mark II Grande gx 110; bei yake, uimara wake, spea, Na matumizi ya mafuta. Maana naambiwa kuwa hii gari inakunywa mafuta Sana.
 
Salam
Sifa za gari

Injini

Injini yake ina Cc 2000 . Mara nyingi unashauriwa kupata hii ya Cc 2000 isiyo na Turbo kwa kua ina matumizi madogo ya mafuta lakini pia nguvu yake bado ni kubwa na hivyo kuipa gari mwendo huku ukiepukana gharama za Turbo. Cc 2000 kwa wastani inaenda kilomita 12.2.

Vifaa na mafundi

Kwa sasa tofauti na zamani vifaa vimekua vingi kwa bei za wastani lakini pia uimara wa vifaa hivi ni mkubwa, kwa sasa mafundi wa gari hizi wanazidi kupatikana katika mikoa mingi Tanzania kama Dar, Dodoma, Mwanza, Arusha, Mbeya n.k

Utulivu

Iwapo kwenye mwendo gari hii imetulia sana kwa kua ipo chini kiasi tofauti na gari nyingine zilizonyanyuka juu, na unaweza kukata nayo kona ikiwa hata kwenye speed 160.
Gharama

Gharama zote za kuagiza gari hiyo pichani ni 12,850,000, malipo ya awali ni 5,800,000

Zaidi tembelea ofisi zetu za Mbeya na Dar au piga 0746 26 77 40 au 0719 989 222

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…