Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Yaani anaweka option dhidi ya chama chake, ni hatari. Je Kinana akisema mchague Magufuli, na kama hamtaki Magufuli basi mchague Anna Mugwira, je inakuja hapo!?

Hata hospital aspirin isipofaa jaribu panadol. Tunataka jembe Shirima au Mrema mzee wa siku7
 
Mabadiliko yamemsomba tayari.
 
Mawazo duni kweli. Wars are won or lost on basis of superior weoponry siyo ujazo wa biceps. Ndio maana David pamoja na udogo udogo wake amepiga chini goliath jitu la miraba minne in seconds. Brains always win over brawn.
 
[h=3]
[/h]

Kila siku zinavyo zidi kuyoyoma, UKAWA wanapumulia mashinda na kutengeneza mafuriko ya "IT", ilimradi tu, wajipe moyo kama yale mafuriko ya Guinea Conakry. Haya mafuriko ambayo yanamfuata Magufuli kila aendapo, yanawapa mpasuko wa moyo UKAWA na Lowassa.
 
Tanzania itajengwa na watu wenye moyo safi! leo nilikuwa natembea mitaa ya Jiji la Mwanza..masokoni na waendesha boda boda story kubwa ni kuwa MAGFULI ameshakuwa RAIS kilichobaki ni uchaguzi wa wabunge na madiwani...
 
Safi sana kiongozi
 
Mawazo duni kweli. Wars are won or lost on basis of superior weoponry siyo ujazo wa biceps. Ndio maana David pamoja na udogo udogo wake amepiga chini goliath jitu la miraba minne in seconds. Brains always win over brawn.

Kama alimshinda ndani ya ccm iweje amshindwe nje ya ccm ...kuku wako hufukuzi unasubiri aingie bandani tu.
 
Ukawa na Mbowe watajutia maamuzi yao....wamepoteza mechi dakika ya 90+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…