Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mwanga wa milele umuangazia ehee bwana.apumzike kwa amani
 
We uelewa wako finyu sana, hapa tunajadili mambo ya kitaasisi we unaleta mifano ya mtu binafsi.



Mbona umekazana na masuala ya kukariri, kwenye mijadala huwa tunajibu hoja. Inavyo onesha wewe ndio umekaririshwa kwamba kila kitu kinakaririwa.

revise your notes. Jitahidi kuelewa unachosoma usipende kukariri tu unachosoma ili upate cheti
 
Serikali ya Raisi John Pombe magufuli.
na sio serikali ya chama cha mapinduzi 🀣 🀣
 
Tuwahurumie tu hawa watu
 
Magu aitaji kabisa kufanya kampeni. Aludi tu ikuru akare bata
"aitaji = hahitaji
aludi = arudi
ikuru = ikulu
akare = akale

halafu unasema CDM wanauelewa mdogo???? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
JF ya miaka hii imekuwa nyepesi mnoo. Hata muda wa kufuatilia ratiba ya kampeni iliyotolewa na tume ya uchaguzi watu hawana, ni kutiririka tu na mada!
 
Mpaka wanajaza wanafunzi ktk mikutano yao jua hawakufikiria ingrkuwa ivyo,

dadeki zao walidhan chadema itakufa by2020 kumbe walikuwa wakiipa kiki za bure bila kujua
Pumzi imekata! Lissu hafai aisee!! Alijua mwaka huu atateremka tu mlima kitonga! Kisa amenunua ndege na kujenga flyovers. Alichokutana nacho, hatokuja akisahau kamwe.

Hili ndilo somo sahihi la kudhani maendeleo ni VITU pekee!
 
Daah! Anaumiza Sana uchumi wa mwananchi mmoja mmoja huyu jamaa

alafu hakunaga kitu kama uchumi in real, mtu kua maskini ama tajiri that all depends kwa mtu mwenyewe! wanaoendesha uchumi wa hii nchi ni wafanya biashara! izo kelele zingine ni upuuzi mtupu, mnakua kama hamjasoma bwana
 
Pumzi imekata! Lissu hafai aisee!! Alijua mwaka huu atateremka tu mlima kitonga! Kisa amenunua ndege na kujenga flyovers. Alichokutana nacho, hatokuja akisahau kamwe.

Hili ndilo somo sahihi la kudhani maendeleo ni VITU pekee!
Huyu 🐍🐍 Jeshi lote kapeleka Zanzibar kwenda kumsimika Mwinyi.
 

cdm bana! mmeshindwa kushawishi watu saaahv mnasema uizi wa kura hata hatujapiga izo kura
 
Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Bwege aliwaambia ila hamkusikia.acha dawa iwaponye kunguni nyie.ninyi bila maji ya moto hamtoki vitandani .

Kumbe mbunge bwege aliwakuna kwelikweli.poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…