uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Ni kweli ,ila mbaya ukiwa chadema akili anakushikia mbowe na lissu kisha anakurudishia ikiwa chafu kwa kutumika kama toilet paper.Ukiwa green huwa ubongo unaufyata na tumbo huchukua hatamu sio?
U sound stupid eti tutakoma[emoji23][emoji23] yani kama vile huyo mume wenu beberu ndo anayemiliki oxygen yote ya tanzania.Wewe sio mfuatiliaji. CCm technologia inawaumbua sana safari hii, haujaona barua ya VC wa UDOM akilazimisha wafanyakazi kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni za ccm? Robert Amstadarm kasema ana compile ushahidi...... unadhani watu hawajui maouvu yenu? mtakoma
Lazima waende ,kumbuka wakati wa corona imepamba moto, na shule kufungwa, aliendelea kuwalipa walimu mishahara bila ya wao kufundisha,Mgombea wa Urais wa CCM ndg John Pombe Magufuli, leo mchana alikuwa Shinyanga mjini. Baada ya hapo kesho tarehe 4/9/2020 atakuwa Simiyu akipitia Maswa....
Lazima waende ,kumbuka wakati wa corona imepamba moto, na shule kufungwa, aliendelea kuwalipa walimu mishahara bila ya wao kufundisha,
Uganda hawalipwi mpaka sasa ,wanachoma mahindi tu barabarani
Kwani hiyo ni siri?Sasa si ungeofuyta hiyo namba,waalkiamua kuifustilia si watampata?
Ndiyo maana walikata rufaa baada ya mahakama kuwakataza kuwa wasimamizi wa uchaguzihalafu tunaambiwa DED ni msimamizi wa uchaguzi.
Kweli wewe ni uporo wa ngunaKwani kibaya kitugani? Nini maan ya mualiko? Hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kwenye kampeni ila wao tuu wamealikwa wanamawili kukubali au kutokwenda.vita ni vita, mbona chadema wanawanunulia boda mafuta ya buku mbili hakuna mwana ccm aliyekuja kulalama.
Cdm siyo mazoobaHata chadema pia mnaweza kuwaalika hao watu kwani shida iko wapi
Sasa inakuuma au mwambie na Msaliti Lissu afanye hivyo kama watamkubalia.Mgombea wa Urais wa CCM ndg John Pombe Magufuli, leo mchana alikuwa Shinyanga mjini. Baada ya hapo kesho tarehe 4/9/2020 atakuwa Simiyu akipitia Maswa...
Chadomo ni zaidi ya mazooba ndiyo maana yanachukua picha za Mwaka 2015 na kuaminishwa za 2020 na yanashangilia kama mazuzu hahaha!!Cdm siyo mazooba
Sasa si ungeofuyta hiyo namba,waalkiamua kuifustilia si watampata?
Sasa inakuuma au mwambie na Msaliti Lissu afanye hivyo kama watamkubalia.
Acha ujinga kama hujui vitu ni bora uulize,ukipata ujumbe kama huo umetoka kwa Mkuu wako wa kazi maana yake ni lazima kuwepo ujumbe hauwezi kukulazimisha moja kwa moja kutokana na mazingira lakini uhalisia wake ni lazima kuwepo lasivyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yako.Kwani kibaya kitugani? Nini maan ya mualiko? Hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kwenye kampeni ila wao tuu wamealikwa wanamawili kukubali au kutokwenda.vita ni vita, mbona chadema wanawanunulia boda mafuta ya buku mbili hakuna mwana ccm aliyekuja kulalama.
Hongera kwa kuthibitisha 👏Ni kweli ,ila mbaya ukiwa chadema akili anakushikia mbowe na lissu kisha anakurudishia ikiwa chafu kwa kutumika kama toilet paper.