MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
DaaahMimi nimefanikiwa kupanda flyover ya Ubungo nikiwa kwenye mwendokasi kwa nauli ya Sh 650 tu. Sijawahi kupanda ndege yeyote wala bombadia ya Magufuli.
Sijui wangapi mmepanda flyover na bombadia za Magufuli?
Maendeleo hayana chama
CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live
Ahadi za CCM sio hewa Kama za upinzani za Ohhh tukishika kila mtanzania atakula ubwabwa!!! Oh tutahakikisha kila mtanzania akitaka kuporomosha matusi anaporomosha atakavyo!!! Ahadi za kitapeli tapeli hewa!!!!
Hadi na Maendeleo ya watu? Nimecheka sasa nimeelewa ujinga wa Chadema kwa hiyo ndio maana hamkujenga ofisi ya makao makuu.Kwa Hiyo kufanya kazi kwenye kile kijumba kisicho na madirisha makubwa kilichojaa joto ndani yale ndio Maendeleo ya watu?Ww upo dunia gani? Hakuna mtz tena anafikiria ndege, barabara, na umeme hivyo ni vitu vya kuja tu serekali yoyote lazima ivifanye
Sasa hivi fikra zetu zipo kwenye UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU
Tunataka hela za tetemeko hapa Bukoba.AKICHEZA KWA FURAHA JUKWAANI NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI.
View attachment 1558214View attachment 1558215
Mwaka huu kila rangi tutaonaAKICHEZA KWA FURAHA JUKWAANI NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI.
View attachment 1558214View attachment 1558215
unafki uliopitiliza, wakati huo Lissu anaugulia risasi 17 mwillini.AKICHEZA KWA FURAHA JUKWAANI NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI.
View attachment 1558214View attachment 1558215
Hata kuosha vyombo wataosha kipindi hiki cha kampeniWengine wameonekana wakikuna nazi sias a hizi
Inabidi adhibitiwe na wananchi wenyewemagu akipewa mitano tena tutakoma, tutapigishwa magoti kila siku kama alivyopigishwa na muimba singeli.
Inabidi tumdhibiti nduguMagu anakosa weledi na ametuangusha sana wafanyakazi kwa kutubania mishahara yetu.
Hata vijijini tutampiga pini,Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.
Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,
Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori