Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mimi nimefanikiwa kupanda flyover ya Ubungo nikiwa kwenye mwendokasi kwa nauli ya Sh 650 tu. Sijawahi kupanda ndege yeyote wala bombadia ya Magufuli.

Sijui wangapi mmepanda flyover na bombadia za Magufuli?

Maendeleo hayana chama
Daaah
 
Hilo la kutumia watu barua waende kwenye mikutano haipendezi kabisa, Sasa Kama viongozi wa Dini wa Jimbo zima wanaambiwa waande kukaa kwenye mikutano na wakati wanamipango mingine hiyo haifai, bado unawaambia walimu nao wabebe na wanafunzi hiyo pia haifai ni kumuonyesha mtu unamlazimisha kwenda kukusikiliza, kinachotakiwa kufanyika ni gari la matangazo lipite kutangaza na watu waende kwa utashi wao, na tunakoelekea Mambo yakusumbua watu kwenye mikutano yaishe, serikali iweke vyombo vya habari viweke mijadala kwenye media na ikiwa wanaenda kwenye mikutano basi watumike wapambe wao wachache kusikiliza na siyo kusumbua watu waache mipango yao kwenda kukaa kwenye mikutano.
 
CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live

Ahadi za CCM sio hewa Kama za upinzani za Ohhh tukishika kila mtanzania atakula ubwabwa!!! Oh tutahakikisha kila mtanzania akitaka kuporomosha matusi anaporomosha atakavyo!!! Ahadi za kitapeli tapeli hewa!!!!

Ww upo dunia gani? Hakuna mtz tena anafikiria ndege, barabara, na umeme hivyo ni vitu vya kuja tu serekali yoyote lazima ivifanye
Sasa hivi fikra zetu zipo kwenye UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU
 
Ww upo dunia gani? Hakuna mtz tena anafikiria ndege, barabara, na umeme hivyo ni vitu vya kuja tu serekali yoyote lazima ivifanye
Sasa hivi fikra zetu zipo kwenye UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU
Hadi na Maendeleo ya watu? Nimecheka sasa nimeelewa ujinga wa Chadema kwa hiyo ndio maana hamkujenga ofisi ya makao makuu.Kwa Hiyo kufanya kazi kwenye kile kijumba kisicho na madirisha makubwa kilichojaa joto ndani yale ndio Maendeleo ya watu?

Kwa hiyo chadema wafanyakazi wenu wameendelea kwa kufanya kazi mazingira kama yale? Na ni haki kwao?
 
AKICHEZA KWA FURAHA JUKWAANI NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI.

FB_IMG_15992221924434432.jpg
FB_IMG_15992221253882683.jpg
 
Kikawaida ukibanwa sana basi akili yako hufunguka zaidi kutokana na mkabo unaopitia. Hupelekea bongo yako kuchakata taarifa zaidi katika kutafakari na kutafuta hitajio au unafuu au ufumbuzi wa matatizo yako.

Hata mtoto akiwa given kila kitu akili yake hudumaa, ila akiwa na mahitaji na hakuna wa kuyakamilisha ispokuwa yeye mwenyewe basi akili yake itachakata njia mbalimbali za utatuzi. Na pia nidhamu itakuwaepo.

Neema na matunda ya nchi hufaidisha watalawa na walio kwenye system.


Hardworking-honest-man.jpg
 
magu akipewa mitano tena tutakoma, tutapigishwa magoti kila siku kama alivyopigishwa na muimba singeli.
 
Magu anakosa weledi na ametuangusha sana wafanyakazi kwa kutubania mishahara yetu.
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.

Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,

Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.

Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,

Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori
Hata vijijini tutampiga pini,

kule bukoba alituiaita watu wa ngono, ukimwi na katerero, akatunyima misaada tuliyochangiwa na ndugu zetu

simiyu alituambia tufe
na njaa hatoi chakula Cha msaada,

kule manyara Alisema watoto wetu wa kike wanaopata mimba hakuna Kurudi shule

Kule mtwara alituita kagomba wezi na kupora korosho zetu. Pia akatutishia kuwapiga shangazi zetu.

Hata sisi Wana vijiji tumemkataa
 
Back
Top Bottom