*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
#MagufuliAendeleeTu
Kwa bahati mbaya amewekewa pingamizi. Jina lake linaweza likakatwa na tume ya uchaguzi.Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae...
Wewe na nani?hebu acha kuwasemea watu weweKwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
#MagufuliAendeleeTu
Umeamua wewe, ulitakiwa uandike kwa nafsi yako, umeamua wewe na watu wenu, halafu unaongea kama ni makubaliano rasmi.Kula mshahara utulieKwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae...
Toka aingie madarakani ufisadi umeongezeka maradufu (zaidi ya trilion moja na nusu).Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae...
Hapa ndo changamoto na muktadha mzima wa wafanyakazi kutaka kuongezewa mishahara unapopotea. Wewe mtoto umeajiriwa 2015 unataka ongezeko la mshahara, ongezeko la daraja.
Ebu tujiulize maswali ya msingi mawili tu
1. Umelifanyia nini taifa, taasisi au sehemu yako ya kazi toka 2015 mpaka kustahili ongezeko la mshahara na kupanda daraja.?
2. Toka umeajiriwa 2015 umeongeza utaalamu upi na weledi upi kazini kustahili kupandishwa daraja...
Nenda kasome kanuni namba 14(1-7) ya mwaka 2003 ya utumishi wa uma juu ya vyeo na nyongeza za watumishi kama lilivyotolewa kwe tangazo la serikali namba 168 la tarehe 20/06/2003Wewe unaejua maswala ya utumishi wa umma. Niambie sheria ipi inataka upandishwe daraja au mshahara
Usijambe ukaziba pua mwenyewe, andika jina lako kamili humu JF.Udikteta upi umekithiri , eti hamana uhuru wa kujieleza mbona upo JF humu? Eti ufisadi umeongezeka maradufu ! Kama ufisadi bado upo si ungeona waponzani wanaishikia hiyo hoja !.. In short hamna cha kuwaeleza watanzania na huyo kibaraka wenu!.
Mkuu hiyo ya kilimo cha uhakika ni bora utuombe radhi sisi wakulima na utubu kwa Mungu wako kwa kusema uongo na kutudharau washika jembe.Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae..
Mwaka huu hata kazi alizofanya shetani anasingiziwa MunguKabisaaaaaa ataendelea..
Mungu ndie alimpatia hiyo nafasi..
Magufuli 2020 💯
Kwa misuli, kama hii ya kupora form, kuengua wagombea wa upinzani, hapo bado kuiba kura.Unayaona haya lakini unafumba macho...Atarudi kwa kishindo, tena kishindo cha radi, Magufuli ni sauti ya Simba aungurumapo hakuna wa kusima.
Tukutane trh 29/08/2020, Dodoma. Safari hii ni mwendo wa kuwatimulia vumbi, tena vumbi la jangwani. Ilisikika sauti ikisema hakika limebarikiwa tumbo la mama aliyemzaa Magufuli....
Uonevu SASA!? BASI...!! SASA BASI...!! SASA BASI...!!!Amesha wekewa mapingamizi anaweza akapigwa chini
sheria ya kuongeza iliwekwa ya nnHapa ndo changamoto na muktadha mzima wa wafanyakazi kutaka kuongezewa mishahara unapopotea. Wewe mtoto umeajiriwa 2015 unataka ongezeko la mshahara, ongezeko la daraja.
Ebu tujiulize maswali ya msingi mawili tu...