Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Siku hizi hakuna fahari Kuna JF member. Hakuna Great Thinkers kabisa.

Suala la Kikwete kushiriki Kampeni ni suala la utamaduni tangu enzi.

Nyerere alishiriki Kampeni akiwa mstaafu, Mwinyi alifanya hivo, Mkapa alifanya hivo sasa kwa Kikwete AJABU iko wapi.
 
Kwa jinsi JPM alivyomnanga atafanya lakini nafsi haikubali.
 
Siasa za Tanzania ni kamlango ka dhambi isiyosameheka aisee
Hakika.
Mtu mwadilifu hawezi kufit kwenye siasa, hasa. hasa za nchi za dunia ya tatu, yaani nchi nyingi za Kiafrika na Latin Amerika.
Kwa nje mtu anaonekana kama Malaika kumbe anaishi kwa masharti ya mganga wa kienyeji. Mambo anayofanya sirini hayatamaniki hata na yeye.
Vijana Someni kwa bidii ili muweze kujitegemea.
Bora kuishi maisha ya wastani yenye haki, amani na upendo wa kweli.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe huoni tofauti?? Ondoka hapa wewe sio GT
 
Wewe kama uliajiriwa kazi ya ufariji endelea kujifariji tu ila october sio mbali
 
Awe mwangalifu la sivyo atapoteza mvuto wote.
 
Elewa mantiki ya ushiriki wa Nyerere kwa Mkapa au JK kwa Magu mitano ya kwanza.
Tofauti na sasa ambapo kumshabikia Magu tena ni kujipaka uchafu
 
Huo ndiyo ukweli, hata kama Lisu atashindwa kwa 100%, hawezi kutangazwa mshindi. Siyo kwa wizi wa kura , hapana, ni tume kulazimisha matokeo ya kidhalimu kama livuokuwa zanzibar. Ccm haiwezi kushinda kihalali hata siku moja.
Tatizo lenu makamanda munaamini kura zitapigwa Jf, FB na twitter . Likes za mitandaoni zinamdanganya sana lissu.
 
Tunashukuru kwa ndoto za mchana
 
Ukifuatilia kampeni zinazoendelea haswa za wagombea urais utabaini kuna baadhi ya wagombea tayari wameshatepeta au kwa lugha nyepesi wamesha choka, ila utabaini kuwa japo magufu anatumia sana usafiri wa gari na kampeni za mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya lk bado anaonekana ana energy/nguvu ya kutosha kila anapo pita.

Mpaka sasa katika wagombea wote wa urais Magufuli ndiye pekee amehutubia mikutano ya kampeni mingi zaidi kuliko wengine lkn angalia "energy" aliyo nayo utadhani ndio kwanza kaaza

Anaonesha kuwa ni kiongozi imara mwenye nguvu ya kupambana...kwa lugha nyingine ni mpambanaji asiye choka.

"Jeshi la mtu mmoja......kama watu mia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…