Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

MAGUFULI O yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahahahaaaa, una akili sana ndugu yangu, huu ndio ukweli mchungu
Hakuna mtu wa kushindana na JPM,isipokua kwa kua wengine wako kwenye kutafuta maisha wapate chochote kwenye ruzuku, acha waendelee kujitafutia
 
Si mtoto was kiislam huyu ilikuwaje akavuliwa ushungi na miwani maana naambiwa mtu anayetakiwa kuona nywele ni mmewe peke yake sasa DAB ilikuwaje akaona nyweleeeee... Haya mambo banaa
 
Hana huruma yoyote huyo mama mnampaka sifa ambazo hana
 
Hakuna mtu wa kushindana na JPM,isipokua kwa kua wengine wako kwenye kutafuta maisha wapate chochote kwenye ruzuku, acha waendelee kujitafutia

Nimecheka sana jana, kazomewa kidogo tu katishia kuondoka hahahahaaaaaa! Hapo bado, siasa bana
 
Mkiwa hamna hoja,kuweni wasomaji tu!Kwa utopolo huu hata mataga wenzako watapita kushoto!
Unaanzisha uzi kwa ajili ya mipasho utasema hili ni jukwaa la taarabu,shame!
Wakipita pembeni kwa sababu wanaelewa nilichowasilisha ndio ukweli mtupu hakuna wa kupambana na magu!
 
alisema ukweli askari wa tanzania hawezi kupiga risasi 30 mtu mmoja asife hao ni wahuni tu walikodiwa na wadeni wa lissu msimuone lissu kama mtu safi sana ana yake yanayomfanya kuwa na maadaui wengi kama hivyo waka mtwanga risasi
Huyu sijui walikua wanamdai pikipiki za wajumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…