Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Sikh iz Lumumba wameajil vijana wengi wajinga hiv na wew kwa Uzi huu utalipwa?
 
Huu ni UTOPOLO mtupu hakuna lolote. Rais ajaye ni Tundu Lissu tu.
 
we ndo unatishika na eti phd, kitu ambacho yeyeto uwezo wa kukariri akiamua anakipata tu. Thus wengi reasoning zao ziko chini,hadi kumsujudia mwanaume mwenzao ili washibe
Na wewe unataka kusujudiwa akati unamiliki kisimu cha kichina bando la kukopa tala........minywele michafu ....kuoga sio lazima .......haya sasa kakojoe ulale hapa
 
Kwani aliyeweka sheria na kanuni za kumpandisha daraja mtumishi kila baada ya miaka 3-4 alikuwa chizi?
Je, hajaainisha sifa na vigezo?
Kama kuna sifa na vigezo, je, mimi sijavifikia?
Acha kubishana na makula kulala Mkuu unapoteza muda, pia wapo mavyoo vikuu ma-oppotunists!! Hawajui maisha
 
Viwanda vipi vilivoongezeka?
Njoo huku mkoa wa pwani uone mapagale unayoyaita viwanda.
 
Hii team ni funga kazi!.
Hiyo October 28, kiukweli ni usipime!, sio tuu ni ushindi wa kishindo, bali ni tsunami ya kura za ushindi wa kishindo cha upepo wa kisulisuli!.
P
 
Rubbish
 
Hii team ni funga kazi!.
Hiyo October 28, kiukweli ni usipime!, sio tuu ni ushindi wa kishindo, bali ni tsunami ya kura za ushindi wa kishindo cha upepo wa kisulisuli!.
P
Umehangaika miaka mitano kusifu na kuabudu wala hujapata uteuzi! Bahatisha karata yako awamu hii.
 
Jitetee nafsi yako na siyo kujipambanua kuwasemea wengine...
 
sema kwa nn utampigia usiseme kwa nn tutampigia... mbona unaongea shit
 
Toa takataka zako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…