Watawatangaza washindi watake wasitake hata Kama Ni wateulehalafu tunaambiwa DED ni msimamizi wa uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawatangaza washindi watake wasitake hata Kama Ni wateulehalafu tunaambiwa DED ni msimamizi wa uchaguzi.
Wanakuja wenyewe kufuata sera nzuriHata chadema pia mnaweza kuwaalika hao watu kwani shida iko wapi
Mbona ni mualiko, kuna tatizo gani sasaMgombea wa Urais wa CCM ndg John Pombe Magufuli, leo mchana alikuwa Shinyanga mjini. Baada ya hapo kesho tarehe 4/9/2020 atakuwa Simiyu akipitia Maswa.
Rafiki na ndugu yangu mmoja ni mwalimu. Yuko Maswa. Leo kapokea text message toka kwa mwalimu mkuu wake wa shule ikimtaka kuwahimiza walimu wake kuhudhuria kampeni. Ujumbe unasomeka hivi (nimeuambatanisha na andiko hili hapo chini);
"....waalike walimu wako wote kesho kuhudhuria kampeni za Urais Maswa, Mheshimiwa Rais Magufuli atakuwepo..."
Huyo mwalimu mkuu amesema naye kapokea ujumbe huo toka kwa mkuu wa idara (Afisa Elimu - Wilaya). Naye kapewa order na DED na DED kapewa order toka kwa DC na DC naye kapokea amri toka kwa RC...
Hiki ndicho wanachokifanya CCM. Wanatumia "ujinga" wa baadhi ya watumishi kulazimisha mambo yao. Ukicheki hii, ni kama mwaliko wa kawaida lakini nyuma ya pazia kuna amri.
Bahati njema rafiki yangu kasema hana taimu chafu kama hiyo unless wagawe "mshiko" yaani ingalau "night" moja hapo wanaweza kwenda ingalau kuwazuga.
View attachment 1557512
Wapigaji wamemchoka wale waliozoea kula pesa ya mabango wakati wa kampeni.Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Huyu naye amevutiwa na nini kama JPM amepoteza mvuto?Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
NdioKuna walimu humu hebu njooni mtoe ushahidi ni kweli mnahimizwa kufanya hivyo..??
Weka ushahidi maana haya sio mahubiri ukisema ndio tu basi tukubali!!Ndio
[emoji2][emoji2][emoji1]Mleta mada atakuwa anamfuatilia Magufuli kupitia account ya twitter ya kigogo
Alichosahau tu ni kwamba canter na mafuso ya kuwabeba hayana mafuta!Kwani kibaya kitugani? Nini maan ya mualiko? Hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kwenye kampeni ila wao tuu wamealikwa wanamawili kukubali au kutokwenda.vita ni vita, mbona chadema wanawanunulia boda mafuta ya buku mbili hakuna mwana ccm aliyekuja kulalama.