Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwahiyo Lissu atakuja kufanya yeye kila kitu? Akili nyingine bwana.kwani anajenga kwa mikono yake?au ni contractor? akili zingine bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Lissu atakuja kufanya yeye kila kitu? Akili nyingine bwana.kwani anajenga kwa mikono yake?au ni contractor? akili zingine bwana
Yaani tayari umeshajijibu mwenyewe bila kujua.Kwa hiyo baada ya miaka 5 kama bado hajamaliza miradi (kumbuka ataanzisha mingine), tutengue katiba ili tumpe mitano tena au tuondoe ukomo? Naona umejifunga goli tu.
Nataka mhusika ajibu aone mwisho wa logic yake.Yaani tayari umeshajijibu mwenyewe bila kujua.
Akikujibu nitag!Hivi ile sgr ya Dar to Moro alisema inakamilika Nov. 2019 kwa nini haijakamilika hadi leo?
Ngoja tumsubiri aje.Nataka mhusika ajibu aone mwisho wa logic yake.
Enzi zake hakuwa mkandamizaji ?Kamwe Nyerere asingeunga mkono ukandamizwaji wa watu unaoendelea leo hii kisa tu wamegoma kuunga mkono juhudi
Alichofanya madaraka nyerere Kwa Lissu a lipo kuwa Mara ndo angekifanya Nyerere angekuwa hai.Nimewaza sana na hii ni baada ya kuangalia hotuba nyingi sana za baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Swali langu la dhati kabisa. Je, leo angekuwa hai angemuunga mkono ndugu Magufuli?
Angeacha kweli kuusemea ukandamizaji uliofanywa na ndugu Magufuli?
Angesimama na nani leo ndani ya CCM?
Kiukweli CCM chini ya ndugu Magufuli imepoteza misingi yake yote. Ndugu Magufuli hasafishiki kwa yaliyotokea ndani ya nchi kwa miaka yake mitano ya uongozi.
OLE kwa wanaomuunga mkono kwakuwa tu wanataka chochote kitu. Nasema OLE! Kilio cha watakaokosa na waliokosa haki ki juu yao.