Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ningekuwa na Fuso kadhaa ningepiga hela hapa. Ningeomba ruti ya Mkuranga au Kisarawe.
 
Mwambie Ajiandae Kupiga magoti.
Asipopiga magoti hapati kura hata 1 Dar es salaa.

Ametuvunjia Nyumba kwa ukatili mkubwa sana Kigogo,kiluvya, kimara kibamba.

Mwanza alisema hawabomolei nyumba kwa sababu walimpa kura nyingi.
 
Mimi ntafika uwanjani saa 12, maana nasikia kuna Simba - MONDI mwenyewe, KondeBOY, Nandi kuongoza mashambulizi jukwaani - si pa kukosa hapo mzee.
 
Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.

Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "

Source: Uhuru
Aangalie tu asitikisike yeye tu maana hakawii kuchomekea kauli tata halafu badae zina mtikisa yeye mwenyewe na polepole wake
 
Mimi nilipenda tu kufahamu ni wasanii gani watakuwepo siku hiyo ili nije kula burudani ya bure?
Sasa hv tunakuja kitofauti anaanza Harmonize baada ya hapo break mnakula kampeni mwisho tunamaliza na Mond....
 
Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.

Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "

Source: Uhuru
Wewe ni muongo mtakatifu. Magufuli atafanya kampeni siku ya jumapili uwanja wa Mkapa tena kwa kuvamia mechi kati ya stars na Burundi. Hata gazeti la chama chako husomi!
 
Sasa hv tunakuja kitofauti anaanza Harmonize baada ya hapo break mnakula kampeni mwisho tunamaliza na Mond....

Sisi tunataka huo mziki tu wa bure kutoka kwa hao wavaa hereni. Hotuba mara zote imekua haina mvuto na pia imekosa matumaini.

Zaidi tu ni kuimbishana kinguvu ''Aliserema'' serema serema!!!

By the way, mbona mnawapotezea sana TOT kwenye kampeni za mwaka huu? Au hamfahamu kila mwezi chama kinawalipa mshahara hao waimbaji?

Au kwa sababu Cpt Komba hayupo? Pia ule wimbo wa "CCM ni ile ile" 'wacha tuisome namba' hauimbwi kabisa awamu hii eti!!!
 
Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.

Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "

Source: Uhuru
Waajiriwa tulionyimwa nyongeza ya mishahara kwa miaka mi5 tuna jambo letu 28/10/2020
 
Back
Top Bottom