Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Uchawi huu mnaupanga kwa Gwajima pia.Basi Sugu asitishe kampeni zake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi huu mnaupanga kwa Gwajima pia.Basi Sugu asitishe kampeni zake!
Mdee Kawe hawamtaki!Uchawi huu mnaupanga kwa Gwajima pia.
Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.
Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "
Source: Uhuru
The motive behindMaelekezo kutoka juu yana mbunge wao wa Mbeya mjini tayari.
Prof JMwanamuziki gani atakuwepo?
Prof J
Ulikuwepo wakati hayo maelekezo yanatolewa? Weka ushahidi hapa ili wote tufaidi.Maelekezo aliyopewa Mkurugenzi ni kuwa atakaetangazwa mshindi Mbeya ni Betina.
Niko tayari kuupeleka ushahidi mahakamani.Ulikuwepo wakati hayo maelekezo yanatolewa? Weka ushahidi hapa ili wote tufaidi.
Aangalie tu asitikisike yeye tu maana hakawii kuchomekea kauli tata halafu badae zina mtikisa yeye mwenyewe na polepole wakeMgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.
Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "
Source: Uhuru
Sasa hv tunakuja kitofauti anaanza Harmonize baada ya hapo break mnakula kampeni mwisho tunamaliza na Mond....Mimi nilipenda tu kufahamu ni wasanii gani watakuwepo siku hiyo ili nije kula burudani ya bure?
Then siku Chadema wakija na wewe ndio utajua hujui.Siku hiyo ndiyo Chadema watajua hawajui
Dictator amewazuia wengine wasifanye kampeni afanye mwenyewe.Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.
Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "
Source: Uhuru
Maelekezo aliyopewa Mkurugenzi ni kuwa atakaetangazwa mshindi Mbeya ni Betina.
Ngojea siku ifike mchezeshwe ngoma wewe na mwenyekiti wako.Mdee Kawe hawamtaki!
Wewe ni muongo mtakatifu. Magufuli atafanya kampeni siku ya jumapili uwanja wa Mkapa tena kwa kuvamia mechi kati ya stars na Burundi. Hata gazeti la chama chako husomi!Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.
Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "
Source: Uhuru
Sasa hv tunakuja kitofauti anaanza Harmonize baada ya hapo break mnakula kampeni mwisho tunamaliza na Mond....
Atasabisha fujo na vurugu ambazo hazina maana yoyote.Maelekezo aliyopewa Mkurugenzi ni kuwa atakaetangazwa mshindi Mbeya ni Betina.
Waajiriwa tulionyimwa nyongeza ya mishahara kwa miaka mi5 tuna jambo letu 28/10/2020Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.
Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "
Source: Uhuru