Iyo pesa ni ndogo kwa thamani ya iyo nyumba. Izi ndo zile zimejengwa kwa pesa za mashetani unanyongwa usiku kucha
 
Hongera sana kwa Mwenye nyumba kwa kujua vitu vzuri na kutokuwa bahiri na Hongera sana sana kwa fundi kwa mpangilio mzuri wa Rangi na umakini wa kazi. Naamini bei itafikiwa.
 
Vyumba vitatu tu unavijengea gorofa...

Dalali sijui kaweka bei gani hapo cha juu
 
Punguza bei mkuu nyumba ipo vzr sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba Kama hiz kabla ya kununua inabid utest kulala walau wiki nyingne zna mashetani

Kuna mwamba humu alinunua nyumba yenye mashetan anatandikwa tu kila siku
 
sio kila mtu anaijua changanyikeni ila wengi wanaweza kuanza kupata picha ya eneo baada ya kujua mlimani city
sijasema changanyikeni ni mlimani city ila ni eneo karibu na mlimani city..
Changanyiken sio karibu na mlimani city,changanyiken ni karibu na Chuo kikuu cha Dsm (Mlimani)
 
Kabla ya kununua kutu chochote kile sio nyumba tu,ni lazima ufanye due diligence kutaka kujua anayeuza anauza kwasababu gani? Nyumba ni nzuri na haijakaliwa yeye anaiuza, kuna shida gani?
 
Amna mtu Anajenga Nyumba kama hiyo Halafu Ajimudu Mpaka kufikia Stage Anataka Kuiuza Hapo Anakufa Mtu Mchana Kweupe.!!
 
tunashukuru kwa mawazo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…