INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Iyo pesa ni ndogo kwa thamani ya iyo nyumba. Izi ndo zile zimejengwa kwa pesa za mashetani unanyongwa usiku kucha
 
Hongera sana kwa Mwenye nyumba kwa kujua vitu vzuri na kutokuwa bahiri na Hongera sana sana kwa fundi kwa mpangilio mzuri wa Rangi na umakini wa kazi. Naamini bei itafikiwa.
 
Vyumba vitatu tu unavijengea gorofa...

Dalali sijui kaweka bei gani hapo cha juu
 
Nyumba nzuri sana na ya kisasa inauzwa - Milioni 320 TU Ipo changanyikeni km 2 tu kutoka mlimani city

chini ina chumba kimoja jiko stoo choo na sebule na pakulia chakula juu ina vyumba viwili

Eneo lina ukubwa wa sqm 350 - HATI IPO

Bei ni milioni 320 TU (320,000,000/=)

Kwa taarifa zaidi kuhusu hii nyumba tuwasiliane 0677 818283

View attachment 1728089View attachment 1728092View attachment 1728093View attachment 1728094View attachment 1728095View attachment 1728096View attachment 1728097View attachment 1728098View attachment 1728099View attachment 1728100View attachment 1728101
Punguza bei mkuu nyumba ipo vzr sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba Kama hiz kabla ya kununua inabid utest kulala walau wiki nyingne zna mashetani

Kuna mwamba humu alinunua nyumba yenye mashetan anatandikwa tu kila siku
 
sio kila mtu anaijua changanyikeni ila wengi wanaweza kuanza kupata picha ya eneo baada ya kujua mlimani city
sijasema changanyikeni ni mlimani city ila ni eneo karibu na mlimani city..
Changanyiken sio karibu na mlimani city,changanyiken ni karibu na Chuo kikuu cha Dsm (Mlimani)
 
Kabla ya kununua kutu chochote kile sio nyumba tu,ni lazima ufanye due diligence kutaka kujua anayeuza anauza kwasababu gani? Nyumba ni nzuri na haijakaliwa yeye anaiuza, kuna shida gani?
 
Amna mtu Anajenga Nyumba kama hiyo Halafu Ajimudu Mpaka kufikia Stage Anataka Kuiuza Hapo Anakufa Mtu Mchana Kweupe.!!
 
Huyu alojenga hili ghorofa huko Kimara porini alichemka.Hakujua kwamba thamani ya nyumba inategemea Hiyo site(kiwanja) kipo sehemu gani.Maana ujenzi wa hili ghorofa ukilijengea MASAKI,au Mikocheni,au Mbezi Beach,Gharama za ujenzi Ni sawa.Siku zote JITAHIDI ujenge nyumba yako sehemu ambazo Mzungu,au mhindi,Mwarabu TAJIRI ANAWEZA Akapanga au akapanunua.Kama una pesa yako usijenge nyumba kubwa Kama hii Uswahilini.Maana siku ukichacha utaiuza Bei Karibu na bure."ONA SASA GOROFA LOTE HILO UNAUZA MIL 160,Na bado Hakuna mnunuzi.Wakati Huku Mbezi Beach uwanja mtupu bila nyumba unauzwa mil 400 na kuendelea.POLE SANA.This is good investment at the wrong place.
tunashukuru kwa mawazo yako
 
Back
Top Bottom