Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Iyo pesa ni ndogo kwa thamani ya iyo nyumba. Izi ndo zile zimejengwa kwa pesa za mashetani unanyongwa usiku kucha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mawazo ya ushirikina ili ufanikiwa... Think positivelyIyo pesa ni ndogo kwa thamani ya iyo nyumba. Izi ndo zile zimejengwa kwa pesa za mashetani unanyongwa usiku kucha
Punguza bei mkuu nyumba ipo vzr sanaNyumba nzuri sana na ya kisasa inauzwa - Milioni 320 TU Ipo changanyikeni km 2 tu kutoka mlimani city
chini ina chumba kimoja jiko stoo choo na sebule na pakulia chakula juu ina vyumba viwili
Eneo lina ukubwa wa sqm 350 - HATI IPO
Bei ni milioni 320 TU (320,000,000/=)
Kwa taarifa zaidi kuhusu hii nyumba tuwasiliane 0677 818283
View attachment 1728089View attachment 1728092View attachment 1728093View attachment 1728094View attachment 1728095View attachment 1728096View attachment 1728097View attachment 1728098View attachment 1728099View attachment 1728100View attachment 1728101
Changanyiken sio karibu na mlimani city,changanyiken ni karibu na Chuo kikuu cha Dsm (Mlimani)sio kila mtu anaijua changanyikeni ila wengi wanaweza kuanza kupata picha ya eneo baada ya kujua mlimani city
sijasema changanyikeni ni mlimani city ila ni eneo karibu na mlimani city..
karibuu tuzungumzee
🙌🙌🙌Umejenga mzee? Au ndo umekaa kwa shemeji umewasha DSTV na kuperuzi JF.....mkiwa hamna fedha punguzeni ujuaji na kufuata taratibu
tunashukuru kwa mawazo yakoHuyu alojenga hili ghorofa huko Kimara porini alichemka.Hakujua kwamba thamani ya nyumba inategemea Hiyo site(kiwanja) kipo sehemu gani.Maana ujenzi wa hili ghorofa ukilijengea MASAKI,au Mikocheni,au Mbezi Beach,Gharama za ujenzi Ni sawa.Siku zote JITAHIDI ujenge nyumba yako sehemu ambazo Mzungu,au mhindi,Mwarabu TAJIRI ANAWEZA Akapanga au akapanunua.Kama una pesa yako usijenge nyumba kubwa Kama hii Uswahilini.Maana siku ukichacha utaiuza Bei Karibu na bure."ONA SASA GOROFA LOTE HILO UNAUZA MIL 160,Na bado Hakuna mnunuzi.Wakati Huku Mbezi Beach uwanja mtupu bila nyumba unauzwa mil 400 na kuendelea.POLE SANA.This is good investment at the wrong place.
Nae alinunua kumbe nyumba hailaliki,maruweruwe kibao.Kwamba ilikuaj