SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Shida ni kwamba Iran naona kama kazidiwa
Kazidiwa kwa kuwa na marekani yupo, lia usipagaqe na propaganda hata kama kazidiwa sio kiivyo we ushangai israel akirusha kombola hata kama ni machavhe tunaambiwa wamekufa watu 200+ huko, ila jzui irqn kajibu kwa kurusha makombora kama mvua halafu eti waisrael wamekufa wa3 tu . Inaingia akilini??
 
Sasa kama unarusha makombora 200 bila shabaha ili mradi yafike Israel na hapo hapo yanoyotua mazima ni matano sasa hapo yataleta casualties gani,na wakati huo huo watu wapo kwenye mahandaki.
 
Operation maalum ya Israel huko Iran ina malengo mawili makubwa:-
1). Kusambaratisha mradi wa Nukes
2). Kutamatisha utawala wa mmiliki, mfadhili, mlezi na mkuu wa magaidi Ayatollah.

Ayatollah akijiongeza akatoa ushirikiano, kipondo kinasitishwa chap
 
Kama ukubwa wa nchi ungekuwa ni hoja japan isingeitwala China, vitaifa vidogo kieneo kama Uingereza, ujerumani, ufaransa na ureno visingeitawala dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…