SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Jambo la kujiuliza ni kwanini hao wanaomzunguka wawe maadui zake na wasiwe adui wa Israel pia?

Kuna shida mahali
 
Kutoka katika chapisho la mtandao wa X, waziri mkuu wa Israel anasema kuwa Israel imefanikiwa kulidhibiti anga la Iran... na sasa ndege za kivita za Israel zinaweza kuingia na kushambulia katika anga la Iran bila shida yoyote.

 
Hawataki tuone wakidundwa... Nilikua nadhani hii mbinu ya kuzima internet ni Burundi na Congo kumbe hata hawa?😃😃
 
Yeye mbona anauwa wanawake na watoto gaza?
Kwa sababu HAMAS fighters na viongozi wao wanajificha humo - civilian areas (shuleni, hospitali, Misikitini, sokoni etc).

Missiles zikitarget jengo husika walipojificha, casualities lazima wawepo
 
Nilikuambia hio vitu vinashuka wao hawavioni afu kawakufuza Media wote kawaweka.mbali anajidai ka intercept Missiles sa mbona hatuonyeshi.kama alivyo kuwa anatuonyesha kwenye vita ya Gaza.
Bro usiwe mbishi video clips nyingi tunazo ziona humu sio kutoka kwenye media kubwa ni watu wa kawaida tu hasa kutoka Gaza, west bank Lebanon kusini na Jordan wanarekodi vimondo vinashuka lakini usiku wa Leo haikua hivyo

Nazani raia na vyombo vya habari kutoka ndani ya Israel ndio wamezuiwa
 
Mwaka wa kumi nimejichimbia 'maktaba' nafanya utafifi kama kuna "ELIMU" flani ambayo mayaudi wameificha kwa Watu wengine! Iran na mizigo yote ya siraha nzito kaanza kukata pumzi!
 
Baada ya miaka mingi ya ubabe na kuishi kihuni Iran inaonja joto la jua, kipingo na mateso bila kupata wa kumsaidia. Ulimwengu wa kihuni na kushabikia dhuluma ndiyo chanzo Cha kupokea kipondo. Irani mara zote imekuwa ikikaa upande wa mataifa korofi ikiwemo yakiwemo Urusi, china na Korea ya kasikazini. Sasa wale waafrika walioamua kujiamulia kuua raia wao, kuteka na kuzuia Ibadan kwa watu wao siku zao zinahesabika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…