City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hahaha hata Iron dome na yenyewe imewachoka waisrael imeamua kujilipua hapo hapo Tel AvivOfficial anga la israel liko mikononi mwa ballistics za Iran ,iron dome, Thaada na Arrow zime surrender una dakaje sasa vitu kama vile, hapa ni iron dome ime misfire na kujilipua yenyewe
View attachment 3373294
Zipo nchi kibao zinaongozwa kwa misingi ya kidini, shida moja ni kwamba wamgharibi wanataka Iran aishi kwa masharti na sheria za kimarekani na kimagharibi na hilo Iran halitaki.Iran inapaswa kiridishwa katika mfumo wa utawala uliokuwepo kabla ya mwaka 1979. Miffumo ya utawala wenye misimamo ya kidini ilishapitwa na wakati.
Matango pori utawalisha wapumbavu wenzioOfficial anga la israel liko mikononi mwa ballistics za Iran ,iron dome, Thaada na Arrow zime surrender una dakaje sasa vitu kama vile, hapa ni iron dome ime misfire na kujilipua yenyewe
View attachment 3373294
Muonyeshe hio video hio F35 imeteketezwa afu Israel huwa hawasemi wameangushiwa ndege bado watapinga hahahahaKuna misukule hapa inakuambia anga la Iran linatawaliwa na ndege za Israel..
Haya stealth hio imepigwa..
Iran angefanya aliyo fanya Saud Arabia kuwapa pesa afu anunue silaha kwao wengempenda hahahaZipo nchi kibao zinaongozwa kwa misingi ya kidini, shida moja ni kwamba wamgharibi wanataka Iran aishi kwa masharti na sheria za kimarekani na kimagharibi na hilo Iran halitaki.
Jamaa hawataki mtu ajitegemeeIran angefanya aliyo fanya Saud Arabia kuwapa pesa afu anunue silaha kwao wengempenda hahaha
Yes hapo Israel ndio anatumia kuwa monitor watuBreaking:
shirika la habari la Iran limetangaza kuwa kila mtu anapaswa kufuta Instagram na WhatsApp. What is the motive behind? Tusubiri
View: https://x.com/israelnewspulse/status/1935003209413570869?t=CQ2Bti48S3tLOaySxJV-Cw&s=19
Breaking:
shirika la habari la Iran limetangaza kuwa kila mtu anapaswa kufuta Instagram na WhatsApp. What is the motive behind? Tusubiri
View: https://x.com/israelnewspulse/status/1935003209413570869?t=CQ2Bti48S3tLOaySxJV-Cw&s=19
Ni bora Iran ianguke moja kwa moja kuliko kukubali kuishi kwa kuelekezwa na marekani. Utakua no ujinga mkubwaZipo nchi kibao zinaongozwa kwa misingi ya kidini, shida moja ni kwamba wamgharibi wanataka Iran aishi kwa masharti na sheria za kimarekani na kimagharibi na hilo Iran halitaki.
Ni hofu huenda watu wakahamasishana kufanya mapinduziAisee, naona mambo yanachangamka.
Sio swahiba tu aliuza Nchi, aliwapa UK 90% ya Mafuta ya Iran, nchi ilikua ovyo, ukitaka kujua Iran ilikua Hovyo kiasi gani compare na Tanzania ya miaka ya 70, tuliwazidi kila idara, Elimu, Afya etc.Huyu ndio babaake alitawala Iran kwa muda mrefu sana na alikua swahiba wa US na Israel, Shah wa Iran - Mohamed Reza Pahlavi, naona wanataka kumpa utawala dogo wakishawaondoa akina ayatollah. Ngoma bado mbichi hii.
Wayaudi mna toa vilioMatango pori utawalisha wapumbavu wenzio