mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Sijui uwa mnakunywa pombe gani kuongea uwo ujinga.ivi unafikili ni kazi rahisimbona wako ktk anga ya Iran na wanachagua targets wanazozitaka, watashidwaje kushusha paratroopers kwa anga na majini?
Hiyo vita ndio kwanza inaanza, haiishi leo wala keshoItaisha muda si mrefu.
Marekani ajiandaa kumaliza kazi.
Walisahau kufanya intelijensia ndani yao. Kuna mamluki wengi sana ambao kwa Sasa wanaisadia Israel.
Bila hivyo hii vita ingekua chungu sana kwa Israel
Ila funzo kapata...Tanzania na sisi tujifunze maana Mkuu wa majeshi alisema hadharani kuna wageni wengi wamepewa vyeo.Walisahau kufanya intelijensia ndani yao. Kuna mamluki wengi sana ambao kwa Sasa wanaisadia Israel.
Bila hivyo hii vita ingekua chungu sana kwa Israel
Israel hata aungane na shosti zake wote hawezi kupambana na Russia na watamtelekeza kabla jogoo hajawika.Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...
Nimemaliza, povu ruksa
Mapandikizi ni tishio sana kwa nchi, hii yaitwa Insider threat.Ila Iran alikuwa amefika mbali sana kijeshi isingekuwa mbinu Yao ya mapandikizi huyo America na Israel wangepata shida sana
Umefika mbali kijeshi kwa kutegemea ballistic missile pekee?Ila Iran alikuwa amefika mbali sana kijeshi isingekuwa mbinu Yao ya mapandikizi huyo America na Israel wangepata shida sana
Hiyo disclaimer.. wanaogopa kuwashiwa moto?
Hizi ndio propaganda zenyewe sasa.
Nani kakwambia Iran anategemea ballistic missiles pekee?Umefika mbali kijeshi kwa kutegemea ballistic missile pekee?
Hawa huenda wameona ushindi ushapatikana ndio nao wanatia pua. Mwanzoni waligomaHivi Israeli hawezi kupambana mwenyewe mpaka hawa superpower?..
Maana yake Iran hawezekani mpaka hawa jamaa?..
Kama Israeli vita kwake ni nyepesi kwanini wasimuache aimalize mwenyewe? ? Kuna nini mpaka waje muda huu.
WwWaziri wa ulinzi wa uingereza ameeleza kuwa vikosi vya uingereza vinaelekea mashariki ya kati
View: https://x.com/Osint613/status/1935021939430686975?t=khU_H0Ki0GJmFQA7_Is62g&s=19
WW2 alicontrol anga la nchi ipi,Hakuna Vita ambayo USA alishindwa kucontrol anga since WW2. Ni powerfully inapofika kwenye air superiority.
trump mjanja ana promote siraha zakeBreaking News:
Trumps muda huu amesema kwa sasa Wana control anga la Iran.
Trump ametumia neno "we", kwa maana je US kumbe yumo ndani?
View attachment 3373377
Kama kweli huyu kauawa ni katika kuondoa vitisho au sauti vinoweza kurudisha misimamo mikali.View attachment 3373442
Iranian sources say that former President Mahmoud Ahmadinejad was killed in an assassination on the streets of Tehran - by point-blank range.
Mifumo ya kimarekani THAAD imetumika kuzuia makombora 10 kutoka Iran muda mchache uliopita. No impacts and no casualties, raia wameambiwa warudi mtaani
View: https://x.com/WarMonitors/status/1934981491965968492?t=joQMiK8G6Q3txBeuOLMRIA&s=19
Mabeberu hawana vita na afrika masharikiIl
Ila funzo kapata...Tanzania na sisi tujifunze maana Mkuu wa majeshi alisema hadharani kuna wageni wengi wamepewa vyeo.