Wababe wa dunia wana uwezo wa kufanya regime change kwa utawala wowote, huo ndyo ukweli, na Iran itafanyika hivyoTaarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinadai huenda Raisi mstaafu Mahmoud Ahmednejad ameuliwa na serikali ya Sasa
tanzania ya wapi hiyo?Tanzania inakemea vikali mashambulizi haya ya Israel dhidi ya Irani na inatishia kuiwekea Israel Vikwazo ikiwa haitaachana na mpango wake wa kuendelea kuishambulia Irani na mijidege yake
Nan wakumpiga USA?US akipigwa NATO wata ingilia ? Hata kama kaufata mzigo mwenyewe
Kaka msi mkanyagie Sana🤣😂Huyu anajitetea tu kupambania hisa za Lockheed baada ya kushuka vibaya..
Una jitahidi kwa weledi sana kujipa ushauri nasaha kuwa everything gona be alright, I.e kufa kiume kumpa company babu wa mapngoni AyatollahHao ni waongo!
Wametoa taarifa kibao za kizushi!
Walisema Chief of General Staff aliyeteuliwa wa Iran naye kaliwa kichwa hali ya kuwa ni uongo!
Lisaa limoja lililopita kazungumza kwenye TV ya taifa.
Walitoa taarifa ambayo hata Aljazeera wakainukuu kuwa Tehran inawaka moto kumbe ni fake news hamna lolote.
Waliambiwa waondoke lkn.
Issue sio kuwa na ndugu maana hata mm pia ninao na jana usiku saa tisa tulikua na space tumezungumza masaa matatu yote kujadili tangazo alilotoa trump kuwa watu wahame TehranSasa hilo ndiyo tatizo!
Wewe unabishana na mimi hali ya kuwa nina ndugu Iran.
Wewe kiroboto unaweza kwenda kuamua hiyo vita??Ukikuta wajinga wawili wanapigana unawacha kwanza waumizane utawaamulia baadae
Hivi mpaka sasa Iran ingefurukuta vipi mbele ya Israel?, hakukua na muujiza mwingine wowote kwa Iran mbele ya likombe hiki Cha kipigo kutoka Israel.Hivi Israeli hawezi kupambana mwenyewe mpaka hawa superpower?..
Maana yake Iran hawezekani mpaka hawa jamaa?..
Kama Israeli vita kwake ni nyepesi kwanini wasimuache aimalize mwenyewe? ? Kuna nini mpaka waje muda huu.
Ndugu mtanzania, nina ndugu wapo Iran na nina ndugu wapo Yemen.Mkuu hebu twende taratibu labda tutaelewana maana mimi nafatilia kotekote
Taarifa zilisema chief of staff nani amefariki(jina please) ,na aliyezungumza kwenye tv ni nani naomba majina.
Uko vizuri blindly una weledi wa "coping mechanism" I.e a conscious or unconscious strategy used to manage stress, anxiety, or difficult emotionsNyie rukeni rukeni tu mida ya dozi zetu waajemi ni ile ile saa 11 asubuhi hadi saa 1 asubuhi saa za uku mtakua mme ita maji mma ,njee ya hapo ogopa mataperi
Russia na China waangazia maslahi zaidi.Una uhakika China na Russia haitumii mikakati ya kivuli, si ya wazi ya kumsaidia Iran?
Another innocent neck, carrying a rotten pumpkin headUko vizuri blindly una weledi wa "coping mechanism" I.e a conscious or unconscious strategy used to manage stress, anxiety, or difficult emotions
😆Tatizo kuna watu Wana uchungu sana wanataka kusikia sasa hivi Iran imebaki majivu tupu au Israel imebaki majivu tupu
Wana uchungu kuliko hata waliopo huko.
Vita bado inaendelea atayeshinda atajulikana tu muda si mrefu wala hakuna cha kuficha