SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran alishasaini mkataba na Urusi kuwa nchi moja ikivamiwa kivita ni sawa na umemvamia mmoja wao.

Watakuwa wanapiga kwa kuibia kama wanavyofanya sasa hivi ili isionekane waziwazi.

Ionekane kama Israel inapigana kumbe wanapigana wao.
Urusi vita yake inamtoa kamasi aje ahangaike na Iran?
 
Mission ya Israel imefanikiwa pakubwa sana, bado wana kazi moja ya kuharibu kinu kingine cha nuclear kilifichwa miliman huko, kazi itakuwa imeisha.
 
Yeye baada ya kuzungumzia matumizi ya Choo anataka kutudanganya kuhusu madhara ya vita Israel..
Wakati wenzio wakiwa live wewe ulikuwa wapi au jirani hajaweka umeme umelala kiza

Unakuja kuzubaishwa na screen shot za humu
 
Ila mkongwe unaamini Iran ataweza kuhimili vishindo vya mashambulizi ya Israel na USA kwa pamoja!?
Tehran inajipigwa kirahisi hivi, hakuna air defence hapo kuna cha kuongea? Israel hawakutaka tu kumwua Ayattolah, ila asingerusha hata miguu.
 
Sio majengo tu Central Israel Kuna kikosi cha kukusanya miili kimeundwa.
Inaonekana vifo vya raia Israel vimeanza kuzidi.
Trump usiku wa kuamkia leo kapiga simu Russia ili kutafuta suluhu ya mezani.
Si ndio maana yake wamepiga majengo ya raia tu, miundombinu je?
 
Miundombinu ya kiuchumi ilolipuliwa ni Haifa oil refinery.
Inasemekana Kuna baadhi ya kambi za jeshi zimeguswa ila bado imagery evidence hazijatolewa.
Ila pia Iran anasema Israel anaweka silaha katikati ya makazi ya watu.
Walau hapo kuna balance haya kumekucha sasa
Mchana Zayuni ndio anakuwa active ikifika saa3 usiku kijiti kinapokelewa na muajemi mpaka kukuche.
 
Walau hapo kuna balance haya kumekucha sasa
Mchana Zayuni ndio anakuwa active ikifika saa3 usiku kijiti kinapokelewa na muajemi mpaka kukuche.
Safari hii inaonekana Israel imeumia seriously.
Sio kawaida Trump akurupuke kupiga simu Urusi ghafla.
Na inasemekana Putin ameshindwa mshawishi Iran,Iran wanasisitiza mapigano kuendelea na wanasema wao ndio wataomaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…