SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

🤣🤣🤣
 
Unapendwa unabeba watu kwenye malori ?
 
IDF: The IDF Struck a Centrifuge Production Site and Multiple Weapons Manufacturing Facilities Belonging to the Iranian Regime

Over the past few hours, more than 50 IAF fighter jets completed a series of intelligence-based strikes on military targets in the area of Tehran.

As part of the broad effort to operate against Iran’s nuclear weapons development project, the IAF struck a facility used to manufacture centrifuges in Tehran that was designed to enable the Iranian regime to expand the scale and speed of its uranium enrichment to develop nuclear weapons.

The Iranian regime is enriching uranium for the purpose of developing nuclear weapons. Nuclear power for civilian use does not require enrichment at these levels.

The IAF also struck several weapons manufacturing sites overnight, including a facility used to produce raw materials and components for the assembly of surface-to-surface missiles, which the Iranian regime has fired and continues to fire toward the State of Israel. In addition, a facility for manufacturing components of surface-to-air missiles designed to attack aircraft was also struck.

These targets were struck as part of the IDF's operations against the Iranian regime’s project to develop nuclear weapons and its missile production industry.
 
Chonde chonde AI aka akili mnemba/ akili bandia. Tunataka tuone uhalisia.
 
😂😂😂😂😂😂😂View attachment 3373922
RUSSIA NA CHINA ndio wapo Close uyo Pakistan ndio mnafiki awezi kusogea kusaidia zaid ya M'domo tu !!!

RUSSIA na China wanajua Iran yupoje kwasababu wana ushirikiano mkubwa wa Kijesh kuliko uyo Pakistan ambae ni Puppet wa Marekani kijesh!!!

mm sijaona usaliti wa RUSSIA au China kwasababu Iran bado ipo imara sana kijeshi kwasasa ni mapema mno kuweza kuwalaumu.!!!

tukumbuke pia RUSSIA akikubali Iran idondoke nayeye ataumia vibaya sababu Wazungu wa Magharibi wataacha kununua GAS yake wataenda Iran !!!

Iran Duniani ni nchi ya pili kuwa na Ifadhi kubwa ya GAS !!

Pia mafuta ya petrol ya Iran ndio mazuri zaid kuliko ya jilan zake wote.. !!!

nani ataumia zaid kama sio yeye Ukimya wao wanajua Iran ashindwi ktk hii Vita !!!

Jesh la Iran juzi lilitangaza litakwenda Israel kupitia njia ya Chini yani Jesh la Ardhin kuvamia Israel!!!

kama nikweli embu tupime Umbali kutoka Iran kwenda ISRAEL !!

na kutoka IRAN kwenya RUSSIA kupitia Bahari ya CASPiAN !!

JE kama pafupi kwenda RUSSIA unajuaje kama awajajenga njia ya Ardhini chini kwa chini kwenda RUSSIA !!

Tusisaau Iran na RUSSIA zimetenganishwa na maji tu. au tusema kiwepesi wanapakana kupitia mpaka wa majini na RUSSIA wamepakana na China na pamoja na Korea kaskazini !!!

kwaiyo hiii Show sio ndogo ndugu zangu kimya cha RUSSIA msikizarau RUSSIA ni MAJASUS No1. !!!

Uwezi jua pengine Wanataka Marekani achomolewe Mashariki ya kati. Mazima kupitia Iran mshilika wao,,
 
Unajua wewe unatoa habari nyingi za uongo mpaka unajichanganya. Mbaya zaidi ukiambiwa ukweli unasema watu wamechagua upande.

Mousavi mlitoa taarifa kuwa kauawa na sasa hivi unabisha, unasema kuwa mimi nachanganya taarifa. Pitia taarifa zako nyingi utaona jinsi unavyotoa taarifa zako.

Ulitoa habari jana kuwa Tehran imeshambuliwa hali ya kuwa dakika chache zilizopita kuwasiliana na watu wa Tehran wakasema hakuna kitu kama hicho!

Taarifa nyengine iliyokuwa inazunguka humu ni kwamba Mahmoud Ahmednijaad ameuawa.

Nilikuambia hajauwa na taarifa kama hiyo haipo na wala familia yake haijashambuliwa.


Masaa machache yaliyopita amewaambia wairan kuwa yeye na familia yake wapo wazima wa afya.

Suala si kutetea upande, suala ni uhalisi wa taarifa. Taarifa zako nyingi ni za uongo.
 
Hamasi, Hezbollah, Houthi n.k sio magaidi? Kosugi
Ugaidi wa Hamas upi?
Hamas ilikua political organization ambayo inapambana kuitetea Palestina.Hawakuwahi kuianza Israel pasi na Israel kuianza Gaza au West bank.

Hizbollah iliwaokoa wakristo wenzako walipoundiwa tume na masunni wa Syria na kuanza kuuliwa, Hizbollah pia iliokoa Bint Jubeir isiangukie mikononi mwa Israel.

Houthi ni political organization tangu miaka ya nyuma ikianza kuitwa Ansarullah.
Na 90% ya raia wa Yemeni wanawakubali.

Huo ugaidi wao uko wapi??
Au mkuu na wewe ni miongoni mwa watu mlioharibiwa akili na uongo wa magharibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…