SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sidhan kama ADS za israel ndio the same anazotumia US, ni very differense

US sababu ya ukubwa wa ardhi na eneo ana different approach likija suala la airdefence
 
Kumbe majasusi ya urusi yapo uturuki kumsaidia iran ili athibiti tena anga lake

Iran iliomba msaada huo toka jumamos

Hii vita inaweza kwenda hatua mbaya

...

Ushauri wangu

Israel ingelipua vinu vyote vya nuklia ili mazungumzo ya upatinishi yaanze

Ayatollah aliekuwepo anakaribia kufa siamini km anayekuja atakayemrithi atakuwa gaidi km huyu mzee
 
Inasemekana mifumo ya ulinzi wa Israel imechok kwa kufanya kazi nito usku na mchana, yaani zina over work.. hivyo hali ni mbaya kwa sababu ufanisi wake umekuwa chini sana..
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa wayahudi wanawezaje? Gaza wanatembeza moto, Lebanon ndio hivyo Hizbullah wamekuwa viwete, Houth moto unatembezwa na sasa Kwa Ayatollah hii sio kitu cha kawaida aisee.

Neema za Allah zizidi kuwashukia inshallah
Yahudi anaweza kupiga na mataifa 10 ya kiislam na yote akatembeza dudu kwa wakati mmoja maana hiyo historia anayo na anatamba nayo
 

View: https://youtu.be/7ZSee3Yqg2c
 
Asilimia zaidi ya 60 ya wamarekani waliohojiwa wamesema wanapinga shinikizo la Trump kutaka kuongeza nguvu kwa Israel kupiga maeneo muhimu ya Iran ambayo mpaka sasa yamehimili mapigo makubwa ya jeshi la Netanyahu.
Kinu muhimu kilichokusudiwa ni kile cha Fordow ambacho mpaka sasa imeaonekana mabomu mazitoa yaliyotumika yameshindwa kubomoa milima inayokizunguka kituo hicho.

Trump weighs joining Israel on strikes of Iranian nuclear sites​

 
Wale Pro Iran mliokuwa mnamtegemea Pakistan awasaidie poleni sana
 

Attachments

  • Screenshot_20250618-093503.png
    347.1 KB · Views: 23
Source hiyo hiyo ikisema Iran inaishiwa Ballistic missile mnaikataa na kusema ni propaganda.
 
Hii ngoma bado mbichi tuwe wapole na tusishabikie upande wowote, lolote laweza kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…