SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Uzi huu umejaa wapuuzi, hakuna critical analysis, hakuna data wala nini. Kila mtu anajiandikia ili mradi ana bando, upuuzi mtupu…
hicho ulicho andika ni CRITICAL ANALYSIS? kwani tunafanya PHD THESIS ya "Demise of Persian Empire"
 
Inshort kwenye mataifa ya pale mashariki ya kati ukiondoa wale anaoshirikiana nao Iran kila siku kufanya ugaidi hana msaada mwingine iwe quatar, saudia, uae na wengine
JORDAN na SAUDIA wanatoa msaada kwa majeshi ya ISRAEL NA USA kimtindo
 
Hata US hataweza nimemsikia Resercher in politically and military affairs anasema hawezi kuivunja hio Nuclear station ya iran
 
Wapalestina huko Gaza wanasema kuwa Iran haijawahi kuwasaidia hata truck moja ya msaada wa chakula zaidi ya kuwatumia Hamas silaha.
 

Attachments

  • Screenshot_20250618-101846.png
    198.9 KB · Views: 22
Mkuu usitudanganye bana.
Israel siku ya kwanza ilirusha ndege 100+ kwa mpigo.
Pia usitudanganye kuwa Iran haifanikiwi kimalengo ikiishambulia?
-Nevatim airbase imelipuliwajwe?
-Makao makuu ya Mosad yamelipuliwajwe?
-Ofisi za jeshi zimelipuliwajwe?
-Bandari ya Haifa imelipuliwa vipi?
-Haifa refinery oil plant imelipuliwa vipi!?

Tena hapo Iran anaposhambulia zinahusika nchi zaidi ya nne kuzuia hayo mashambulizi.

Mtaongea sana ila Iran ni nchi ilojitahidi sana kwenye huu mzozo.
Hizo stori zingine msitudangaye hatudanganyiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…