AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
Bado kuna mtu anatafutwa aingie kati ili Mbungi inoge.🤣Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Ameona awe anapigwa pipe na mtu aliyepasukapasuka mwili kwa kupigwa bomu akaona haiwezekani ngoja nikimbie 😂😁Tena za peponi hazina kupumzika maana mihogo hailali. Akina Nasrallah na Sinwar ni wanasimamia kucha 24/7 bila kupumzika!
pambana na watekaji kwanzaKama vibomu vyao vimeshindwa watuite sisi twende na tindo zetu tukavunje
Ishakua debunked ni Drone za Iran hizo shahed 129, muonekano wa shahed huu hapa linganisha na video.Drone za Israel zikiruka kwa uhuru magharibi mwa Iran huku zikilenga mashambulizi kwenye millitary base ya Iman Hassan
View: https://x.com/sentdefender/status/1935232281012224094?t=BTKhTZJDLAWERwJKKehi5A&s=19
😀😄😄😄Ah ameona huku duniani awe anapigwa pipe na aende peponi napo awe anapigwa pipe, akaona haiwezekani bora pipe za duniani 😂
Mbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida NiniUmekunywa chai kweli wewe?
Netanyahu anaomba US aongeze misaada zaidi.Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Myahudi wa visiga huyo bwana Frank WanjiruKwa hiyo wewe ni Myahudi?
Kobazi unaamanisha Nini ? Au unaamanisha waislam?Ameambiwa wapi Iran lete ushahidi ila kobazi mna midomo
Kabda watapitisha chatoWatampa KWA kupitishia wapi
Tubandikie evidence tusome wenyewe, usitatafsrie, kwanza mtoe kabisa CHINA hanaga hiyo policyNoth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kamatakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensky
Ushahidi ujaletaNoth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Israel alikua anapiga sehemu muhimu kimpangilio wakati Iran yenyewe ilikua inajirushia tu mabomu popote , ni sawa na unapigana na mtu yeye anakupiga tumboni wewe unampa za usoni, machoni na mitama mingi mwisho wa siku atadondoka chini ujipigie tu kirahisi.Vita ni mbinu sio silaha.Imenishangaza Iran kushindwa mapema hivi
KUna makobazi tena😂 Ila makobazi 🙌
Wanapigania mademuHawa wanapigana kisa nini
Sio kupaniki, habari kubwa kama hiyo huwezi kuileta bila source lazima uonekane mbabaishaji tu. Na tukiipokea sote tunaonekana majuha tu haijalishi imeletwa na mtu wa upande ganiMbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida Nini
Irani amesema Kwa Sasa tulieni kimya nimchape
Kuna nyambizi ya uingereza ilikuwa Red see pale kazi yake Kutoa signo Israel kuwa Iran imerusha kombora imeshatimuliwa tayari