Russia vita yoyote inayopiganwa na Israel uwaga haingilii maana KGB yake na viongozi wake wengi wa kijeshi na matajiri wana damu ya kiyahudi. Waziri mkuu wa kwanza wa Israel mwanamke Golda Mair alikua ni myahudi mwenye asili ya Russia- Ukraine, wakati huo ukraine ikiwa ni kijimkoa cha Russia. Actually nchi nyingi za Europe usipokubaliwa na jumuia za kiyahudi huwezi kuongoza hizo nchi. Waziri mkuu wa sasa wa Uingereza Sir Keir Stammer mke wake ni myahudi , sasa hapo lazima awasaidie mashemeji zake. Hii vita toka mwanzo nilijua Iran hatoboi na ndio unaweza kua mwisho wa kina Ayatollah. Muda utaongea, ngoja nichukue pop corn na ka mvinyo kidogo.Ni wanafki, walipaswa kuingilia kati. Lakini matokeo yake leo Russia kasema wazi hawezi kuingilia hiyo vita
Kuuwa kiongozi sio kuangusha Utawala umeuwa mtu tu !!Ukiwema iran bado wako vizur kujeshi i doupt, IAF wana conduct military airstrikes as if hawana air defence hiyo sio dalili nzuri
Adui anatawala anga lako, anaua hadi viongoz na kurudi?
Hapana hawako vizur kama unavyosema?
Naunga mkono mkuuu Wairan noma jamaaa!!!View attachment 3374145
Ni muda sahihi wa mashuleni kufundishwe kwa lugha ya Ki-Iran
Tatizo lako hujaja jana kwenye kijiwe chenu cha kahawa ,mzee Abuu alisema Ayatollah eti nae ni myahudiRussia vita yoyote inayopiganwa na Israel uwaga haingilii maana KGB yake na viongozi wake wengi wa kijeshi na matajiri wana damu ya kiyahudi. Waziri mkuu wa kwanza wa Israel mwanamke Golda Mair alikua ni myahudi mwenye asili ya Russia- Ukraine, wakati huo ukraine ikiwa ni kijimkoa cha Russia. Actually nchi nyingi za Europe usipokubaliwa na jumuia za kiyahudi huwezi kuongoza hizo nchi. Waziri mkuu wa sasa wa Uingereza Sir Keir Stammer mke wake ni myahudi , sasa hapo lazima awasaidie mashemeji zake. Hii vita toka mwanzo nilijua Iran hatoboi na ndio unaweza kua mwisho wa kina Ayatollah. Muda utaongea, ngoja nichukue pop corn na ka mvinyo kidogo.
Pakistan anawasalimu,huyu Field Marshal CDF wa Pakistan muda huu ilitakiwa awe Tehran kwa mshangao eti yupo Washington tangy tarehe 14 JuneMbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida Nini
Irani amesema Kwa Sasa tulieni kimya nimchape
Kuna nyambizi ya uingereza ilikuwa Red see pale kazi yake Kutoa signo Israel kuwa Iran imerusha kombora imeshatimuliwa tayari
Hili fekero aka Fake aka IA photo, aliefekisha hii hata hajitambui, ni MOSSAD sio MOSAD ebooo. MOSSAD kwa kiyahudi ni INSTITUTE. Iran wamerusha kombora karibu na hapo wameharibu kidogo hamna madhara yoyote yale. Muda utaongea ngoja nijilie pop corn hapa.Dadekiii walifikiri Iran ni kama HamasView attachment 3373481
Ayatollah ametuma ujumbe wa kuomba wayaongee,Mbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida Nini
Irani amesema Kwa Sasa tulieni kimya nimchape
Kuna nyambizi ya uingereza ilikuwa Red see pale kazi yake Kutoa signo Israel kuwa Iran imerusha kombora imeshatimuliwa tayari
Wanaongea sana wafanye vitendo.Jarida la Wall Street journal linasema Israel imepanga kushambulia nuclear centre ya Fordow, Israel inassma inatekeleza hili wao wenyewe. Hapo awali ilisemekana Israel Hawa kombora la kuharibu hii nuclear centre hivyo kusubiri msaada wa marekani.
View: https://x.com/spectatorindex/status/1935262409666740499?t=YVFx21fxmK7Hbqj7xPNxZg&s=19
Vitendo wanafanya, Wamepiga sites zingine za nuclear, bado hiyo ya fordowWanaongea sana wafanye vitendo.