SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Siku zinavyozidi kwenda wanaishiwa silaa, jedwari zitakuwa chini
 
Hii ilishapita mkuu na yakawa intercepted. But bado naamini wanaweza kurusha mengine baadae
Imekua intercepted wapi? Leta source, ile uliyoweka mwanzo sio interception ilikua ndio inaruka, kuna video kabisa zinaonesha ikiruka.

Kombora limeenda juu zaidi, taarifa zilizopo linasakwa, halijulikani linaenda wapi ama linaenda kupiga nini,
 
Kaka hiyo ballistic imeenda nje ya dunia. Okirudi itakuwa na force kubwa mno. Hakuna cha THAAD wala nini. Inakuja kuiangamiza Israel. Na imeelekezwa kwenye mahandaki ya wayahudi. Ikishuka inauwezo wa kwenda 300km chini.

Tuombe uzima tu Netanyahu asiwepo eneo la tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…