Sio dhambi.. wanajipa moyo kama wewe unavyojipa moyo kuhusu Israel, kwahiyo tuishi humo tu.Kwenye huu uzi wa Iran wamejaa kujipa moyo utafikiri Israel inashindwa na Iran
Tumeshuhudia jinsi Netanyahu anavyombembeleza Trump kuiingiza USA katika hii vita.Kwenye huu uzi wa Iran wamejaa kujipa moyo utafikiri Israel inashindwa na Iran
Anga la Iran liko chini ya Israel, kwa hiyo hizo missiles zinazokwenda Tel Aviv na Haifa huwa zinarushwa au kutuhusiwa na Israel? Au hizo missiles hazipiti angani?Mkuu mambo sio RAHISI kama mnavyofikiria au kutaka yawe
Unajua fika kabisa kwamba kwasasa anga la Iran kwakiasi kikubwa lipo chini ya Israel..... hataka kama ni silaha atazipitishia wapi? Si zitalipuliwa fasta tu zikitaka kuingia Iran
Au ulikua unataka Russia aanze kuishambulia Israel moja kwa moja wakati yeye mwenyewe yupo vitani na Ukraine na washirika wake wanampelekesha puta mwaka wangapi huu
Nyie si zamani mlikuwa mnasema Iran ikirusha hata kokoto itajutaHiki ni kitu kidogo tu, ata hapo kwako ukirusha kibaruti patakuwa hivyo
Siwezi kuwa mpumbavu sababu nafikiri,na sijashikiwa akili Wala siongozwi na mahaba na ninakiri ni Muislam japo ni wa jina na sipendezwi Kwa ubaya wowote unaofanywa na Iran au Israel au mwingine wa aina yoyote chini ya jua ni muumini wa amani,nirudi kwenye maneno yako ya Iran aliwahi kusema ataifuta Israel kwenye ramani ya Dunia nakili aliwahi kusema je ulishawahi kufuatilia sababu ni Nini mpaka aseme hivyo,narudia Tena je afanyacho Israel Kwa watu wa palestina ni sawa juu ya mipaka yao rejea ramani ya 1948πππ
Wabongo ni wapumbafu sana aisee
Irani kalazimishwa kupigana???
Huu ni ujinga wa mchambuzi wa Iran kutoka Zakiem,
Iran ilikuwa ikiwasubiri tu Israel wajichanganye ili Iwafute, na huu ni mpango wa siku nyingi tu, kwa hiyo, hii hatuwezi kisema Iran kalazimishwa ilihali yeye alikuwa kakosa fursa za kumfuta Israel duniani, na hii kwake ndiyo haswaa fursa ya kutimiza ndoto zake za miaka mingi
Mkuu tuanze kuwafanyia donation na hawa...Hawajapewa hata nafasi ya kunywa chai leo.
Ayatollah anataka taratibu Wazayuni waanze kujifunza msamiati wa kuitwa SWAUMU!
Ugumu wake unatokea wali?Tumeshuhudia jinsi Netanyahu anavyombembeleza Trump kuiingiza USA katika hii vita.
View: https://x.com/Megatron_ron/status/1934660710753071404
Just imagine ingekuwa ni kinyume, yaani Ayatollah ndio angekuwa anambembeleza Putin saa hii ajiunge na jeshi la Iran kuwasaidia kuishambulia Israel.
Just imagine kauli ambazo wewe na wenzako mnaoichukia na kuibeza Iran mngezitoa.
Sema unachosema, ila hii vita ni ngumu sana kwa Israel.
Kama Netanyahu mwenyewe amekiri, wewe Mzayuni kutoka Matuga unawezaje kushupaza shingo na kukataa kuwa Israel hachapiki?
View: https://x.com/Megatron_ron/status/1935420814892871971
Putin alisema lini ataichota Ukraine kwa saa 72????Toka Febr 24,2022 mpaka leo June 19,2025 Miaka 3 mizima wakati Russia ni Supapawa kwa nini alishindwa kuichota yote kwa Masaa 72 aliyoyasema ???
Kaka nenda kaangalie movie za akina Tom Cruise (Edge of Tomorrow) ndio saizi yako. Kwangu wewe ni mchekea. Ni bora ukajitambua nafasi yako, au ufunge domo lako chafu uweze kuchimba madini bure hapa.π π Hizi stori ni kama zile za kwamba Hezbollah ni tishio Israel hawawezi.
Ndugu, mwanzo wa mzozo Iran alikuwa anarusha makombora 200 kwa mpigo, sasa hivi anarusha kwa kuvizia mawili au matatu, tena anarusha bila kujali lita piga wapi!
Israel saa hii yuko Iran anavinjari kwenye anga lake na muda wote anawinda hizo site za kurushia makombora na kuzilipua.
Kadiri siku zinavyozidi kwenda Iran atakuwa hoi hatakuwa hata na uwezo wa kurusha jiwe kwenda Israel.
Kingine Israel akimalizana na site za kijeshi huko Iran kianchofuata analipua hicho kinu cha nukes cha Fordow kisha anamalizana na Ayatollah alafu anawaacha wenyewe watajua wamuweke nani madarakani.
Nadhani unajua kilichotokea hapo Syria juzi kati.
Bado swali fikirishi hii anga ili chini ya Israel ni ipi na haya makombora yanapigwa Israel yanatokea kwenye anga ipiπ€Ugumu wake unatokea wali?
Israel anazurura angani kwa Iran apendavyo sasa ugumu uko wapi?
Ni ngumu sababu Iran anarusha makombora na kupiga majengo huko Israel?
Subiri uone mchezo watu wana mahesabu ya mbali ndugu
Zile anazorusha Iran ni surface to surface missiles na sio air to surface, labda Iran angekuwa anarusha kwa kutumia ndege hilo swali lako ndio ungeliuliza ila halina mantikiAnga la Iran liko chini ya Israel, kwa hiyo hizo missiles zinazokwenda Tel Aviv na Haifa huwa zinarushwa au kutuhusiwa na Israel? Au hizo missiles hazipiti angani?
Hizi habari nazipenda sana.Kombora la Iran lilivyopiga ndani ya Tel Aviv asubuhi hii ya leo
View attachment 3375727