100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Israel hawezi kuvumilia raia wake watandikwe...Vita hiizi sio rahisi hivyo mkuu maana hapo na wewe utakua unatoa sadaka raia wako. Wewe utapiga raia huko tel Aviv, nao kumbuka wanaruka na ndege za kivita muda wowote wanazunguka hapo Tehran, wakiamua washushe makombora kila walipo raia basi itakua ni maafa
Vita sio rahisi hivyo
Kwa target anazo piga Israel mpaka vita inaisha Iran atakuwa kiwete kijeshi.Mambo magumu.
Mambo magumu..
Hapa umesema ukweli Israel hakuna kitu kinawauma kama kupoteza raia wake, hata akiua kwako raia 1000 na wewe ukaua wake 10 tu basi Israel wataumia sana kuliko wewe uliyeuliwa raia wako 1000Israel hawezi kuvumilia raia wake watandikwe...
Wakianza kupigwa raia watarudi nyuma...
Bro maswali yako unayouliza ni kama umefufuka kutoka kaburini sasa hivi kwahiyo hujui chochote kinachoendelea, yani unauliza Iran ina mfumo gani wa kutungua ndege wakati jana tu wameonyesha video wakiitungua Hermes 900 Drone ya Iran na wakairecord kwanzia ikiwa angani hadi imetua chini, we uko wapi hupati hizi taarifa?Huelewi nini sasa?
Kwa akili yako Iran bado ina uwezo wa kurusha makombora 200 kwa mpigo kama mwanzo?
Je Iran kwa sasa ina mfumo wa kutungua ndege hata moja au kombora lolote toka Israel au popote?
Na wanajuta kwa nini walifanya hivi maana sidhani kama walitarajia kupata hasara kama hii.Iran is out of control. Utadhani Iran iliifuata Israel huko kwao, kumbe Israel wao ndio walianzisha
Israel hawezi kuvumilia raia wake watandikwe...
Wakianza kupigwa raia watarudi nyuma...
Mbona vita Iran imeshaisha, people are celebrating, tuongee yajayoWao walichofanya Gaza hawaoni?
Hawa washenzi mbw@ inabidi wapigwe haswa...
Lebanon wamepiga hospital karibu 30/40....
Ayatollah ameshafika Moscow kwa Putin, ana mzigo wa USD110 blnMpaka katikati ya mwezi July hii vita itakuwa imeisha na Iran itakuwa imeshaanguka.
Kama wakiendelea kwa Kasi hii ya kawaida. Wakizidisha Kasi. Mwezi huu hauishi Ayatollah atakuwa ameuawa
Mkuu hata anga la Gaza lipo chini ya Israel ila Hamas wanaweza kurusha maroketi yaoAnga la Iran liko chini ya Israel, kwa hiyo hizo missiles zinazokwenda Tel Aviv na Haifa huwa zinarushwa au kutuhusiwa na Israel? Au hizo missiles hazipiti angani?
Piga nyukliaVideo footage: nuclear reactor iliyoshambuliwa Leo huko Iran
View: https://x.com/clashreport/status/1935632120828887259?t=YDXSWJPKEKFflLSL4hGq7A&s=19
Piga nyukiliaVideo footage: nuclear reactor iliyoshambuliwa Leo huko Iran
View: https://x.com/clashreport/status/1935632120828887259?t=YDXSWJPKEKFflLSL4hGq7A&s=19
KheeeeIran wametoa onyo kwa nchi za Arabs,ambazo zitampa ardhi US kwa ajili ya mashambulizi zidi yao. Naona wanakiona wanacho kipitia wenzao.
Journalists wao wanasema walikadiria vibaya. Hasa KITU cha Leo asubuhi hakukuwa cha kawaida. Imebidi kaka mkubwa US alazimike kuingilia kati kuokoa jahaziWanasema israel analipua maeneo ya kijesh na kuangamiza makombora ya irani. Haya yanatoka wapi tena?