SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Bila misaada wa Marekani Israel atachakazwa vibaya sana na kupotezwa kwenye ramani ya uso wa Dunia.✍️
 
Kwa taarifa Yako ISRAEL KWA SASA KATIKA MAMBO YA KIVITA YUKO MBELE SANA KWANZA AMEWEZA KUJITOA KWA MOYO MMOJA ROHO MOJA Iran hawawezi kujitoa Israel wapo wachache kama jeshi la Zanzibar au Rwanda Kwahiyo wanapigana vita vya kufa na kupona
Jeshi la zanzibar au sio kisa anapugigwa? Angekuwa anapiga lingekuwa kama jeshi la eokovu
 
IDF wakituliza akili watagundua kuwa wale wakuu wajeshi waliowaua huko iran walikua ni ma-toy na sio wakuu halisi. Pia wakibet vibaya watajikuta wamemuua ayatolla feki na siyo ayatollah ali kamenei original.

Ngoja tuone inavyokua japo iran kushinda hii vita ni ngumu sana maana waarabu wenzake ni wasaliti mno.

Iran kama kweli wamedhamiria kushinda hii vita wanatakiwa wajitoe sadaka ya kweli kwa kizazi kijacho na watumie nyuklia haraka sana kabla hawajawahiwa
 
Muda huu report zinasema marekani anasafirisha na kuongeza mifumo ya ulinzi wa anga kea Israel. Mifumo hiyo ni THAAD na Arrow 3 intercepters
 
Huu mgogoro hauishi salama. Sure, Israel watafanikisha azma yao, watalipua na kuangamiza viwanda vya kutengeneza silaha za nuklia. Waneweza kuumua hadi ayatollah, hilo liko ndani ya uwezo wao. Iran imeonekana kuwa highly disorganized hata kuliko vikundi vya kigaidi ambavyo Israel amepigana navyo siku za hivi karibuni.

Lakin sasa, what hapoens next ndo mtihani mkubwa. Iran ni taifa kubwa lenye raia takribani milioni 100. Kukosa uongozi kwa jamii yake inayotofautiana itikadi za kidini na tamaduni ni mtihani sana. Shida wameishi under control ya regime ya hawa ayatollahs kwa miaka kibao, they don't know amani ni nine and how to practice one. Uhuru utaibua magaidi na wale wanaotaka amani wataibuka kutetea mwelekeo sahihi. Kufikia makubaliano ni ngumu sana. Angalia kilichotokea Libya. Hadi Leo ni taharuki tupu ingawa wana Imani moja ya kidini, sembuse Irani yenye mchanganyiko wa kila jamii!
 

Hebu amka kutoka usingizini usije kujikolea Mkuu
 
Amka ndotoni utajinyea, wale walionyukwa ni wenyewe hadi Ayatoulah kumaliza siku 5 shimoni unachukulia mchezo,
Ila Israel walikusanya taarifa yaani unamfumua mtu kitandani kwake
 
Netanyahu muda huu anafanya press akiwa eneo lililoshambuliwa na makombora ya Iran. Netanyahu anasema all options are on the table.
View attachment 3375888
Netanyau Kapata upenyo wa kutoka kwenye handaki na kubweka bweka kama kawaida yake akitoka hapo anakimbilia chini ya ardhi kama panya au utaskia kaonekana ugiriki
 
Nyie Israel musiichukulie powa majamaa wana akili sana mnakumbuka inshu ya pagers za hezboallah kama mliifatilia mtagundua wao ndio waliotengeneza halafu wakawazuia hezboallah japo hezboallah mzigo alikuwa kauagiza Taiwan ili kukwepa mawasiliano yake yasidukuliwe na Israel, na walikomfokoa kiongozi wao dakika za mwanzo kabisa but Iran mwenyewe maneno mengi mbona viongozi kibao wa makundi anayosapoti wameuawa nchini kwake na akabaki kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…