Au ni kamchezo wanakuja kustuka vyuma vinatua usikuYalirushwa makombora 10, yamekua intercepted. No impacts reported
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935697865742975050?t=vNS32cYA8LhmCzcP7rk5KA&s=19
Waliposema mwaka jana kwamba wataanza kuuza silaha,watu walijikesha kuwadhihakiHili jambo naona mnalisema sana, hii ni kuivunjia heshima Iran.
Haya waliyofanya hadi sasa ni madogo? Ni nani aliyewahi kuwaza kwamba Tel Aviv itageuka vifusi? Hata Netanyahu na Trump wamepigwa butwaa huko waliko, wangelijua wasingeanzisha hii vita walau hivi sasa.
Well, tuseme hawana hiyo incredible intel support, ni nani anayejua mipango yao? Kwa namna Iran wanapigana hii vita madhara wanayosababisha ni kama mti wa mbuyu unaochipukia. Kila uchwao madhara yanazidi kukomaa katika kiwango cha kuogofya.
Wachambuzi nguli wanasema shambulio la leo dhidi ya Israel ni kisu katika moyo, Israel kapigwa panapouma.
Umemsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya mambo ya nje ya Iran? Hawa jamaa sio mchezo na wamejipanga haswa ndio maana jana Supreme Leader Khamenei kaongea kwa kujiamini dhidi ya vitisho vya Marekani.
Iran wapewe heshima yao, wameushangaza ulimwengu na huku tukiwa bado hatujui mipango yao ni ipi! Huenda tukashangazwa zaidi na kila kitu kikabadilika katika uwanja wa vita.
Au siyo!!Yalirushwa makombora 10, yamekua intercepted. No impacts reported
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935697865742975050?t=vNS32cYA8LhmCzcP7rk5KA&s=19
Siyo detectors,Mifumo ya ulinzi, Kuna detectors
Satellites za ulaya na marekaniMifumo ya ulinzi, Kuna detectors
Kwa hiyo ukrain aijapigwa sehemu zote muhimu kiuchumi? Nani kakuambia kuisahidia kungezuia nuclear site zisipigwe kwa namna yoyote ...mbona Israel inayo saidiwa inapigwa maeneo yote au tuseme USA ajasahidia Israel? Tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri.Kumsaidiaje huko kwa hasara Iran inayopata. Nuclear facillites zilizojengwa kwa miaka mingi na kwa gharama kubwa zinaharibiwa useme anamsaidia? Vinu vya kuzalishia mafuta vinapigwa vinaharibiwa wao hawaoni? Au mpaka ifikie kuwa kama gaza au Aleppo ndio aingie. USA na west na NATO wanamsaidia Ukraine tangu kombora la kwanza lilipopigwa pale kiev. Na hawafanyi siri. Wanatangaza kabisa na aina ya msaada anaotoa. Hata askari mamluki wanaopigana upande wa ukraine wao ndio wanawalipa. Kubali kataa. BRICS ni kwa ajili ya issue za uchumi sio kwenye issue za ulinzi na usalama.
Kitendo Cha kusema inamiliki anga inamaana hata hizo missile launcher zisingeweza kufanya kitu.Yale hayapigwi na ndege yale anapiga kwa launchers zilizopo ardhini mbona wabongo mnataka kujifanya wauaji na huku hamjui
Kwa sababu ni wakati wa vita huwezi acha nafasi wazi lazima uzizibe tena ila wale waliouawa ni makamanda na wanasayansi waliokuwa wanashughulikia hayo masuala yote ndo maana hata Iran alipanic hadi Israel anatua pale alikuwa ashakusanya data zoteKuwaua wakuu wa kijeshi ngazi za juu na vita inapigana barabara bila mkanganyiko wowote lazima ujishtukie,
ukifikiria sana utagundua hao jamaa walikua kama matangazo tuu ya biashara kwa taifa lililozingirwa na maadui wengi sana.. akaona aweke hao wazee kuficha uhalisia wa makamanda wa kweli.
Aisee jamaa wepesi kama dodoki 🤣🤣🤣Asante sana iran, ndani ya wiki moja ijayo nina hakika wayahudi watakuwa wameisha au wameshakimbia kama panya anavyokimbia mitego,
Once again well done iran, umeonyesha uwezo wako na heshima tele kwako kwa kutuheshimisha
Kumbe jamaa weupeeeee peeeee
Hilo swali lako likopi vizuri halafu kapaste hata kwa gemini anaweza kukupa majibu tofauti na yangu halafu hiyo elimu ukaanzishe uzi uwafundishe pro Iran wote maana mimi sijui niwaeleze vipi mueleweKitendo Cha kusema inamiliki anga inamaana hata hizo missile launcher zisingeweza kufanya kitu.
Mfano Israel ilipomiliki anga la Gaza,Hamas walikua hawana uwezo wa kurusha roketi kabisa.
Wewe unabisha nini??
Au unatuchukulia sisi hatuna akili brother!?
Shida ni israel inaficha madharaTulia ripoti itakuja kama ya Jana tu.
Jana si uliona madhara yaliyotokea?
Mtoa ripoti amechagua upandeHilo swali lako likopi vizuri halafu kapaste hata kwa gemini anaweza kukupa majibu tofauti na yangu halafu hiyo elimu ukaanzishe uzi uwafundishe pro Iran wote maana mimi sijui niwaeleze vipi muelewe
Ayatoulah lazima afate alikoenda Osama bin laden
Tutakuwepo 👉
Unajichanganya mwenyewe hata hueleweki nini unasema.Hilo swali lako likopi vizuri halafu kapaste hata kwa gemini anaweza kukupa majibu tofauti na yangu halafu hiyo elimu ukaanzishe uzi uwafundishe pro Iran wote maana mimi sijui niwaeleze vipi muelewe
Ayatoulah lazima afate alikoenda Osama bin laden
Tutakuwepo 👉
Mtakuja kuwapa shinikizo la damu sio kwa hizi spana mnazowapa pro (fake white jewish).Acha kujitoa akili Broh!
Me nakufahamu kuwa wewe ni mmoja wa watu makini sana humu jukwaani, au unataka uniambie kuwa hiki kipigo anachopewa Israel kimevuruga hiyo grey matter katika fuvu lako!?
Iran yeye kakuonyesha madhara yapi, hata hivyo vinu au launchers Israel anazolipua ashawahi post hata mojaShida ni israel inaficha madhara
Me nakielewa vizuri na sio propaganda bahati mbaya me sio mwalimu nimejitahidi kukuelewesha huelewi asa nifanyeje nikajifiche kama Ayatoulah auUnajichanganya mwenyewe hata hueleweki nini unasema.
Kiufupi kauli ya kusema anga la Iran linamilikiwa ni war propaganda hakuna uhalisia.
Israel iko taabani Iran kama ilivyosimama vita ya miaka 8 na vita hii itasimama pia.
Israel amewahi kupigana vita hata ya miaka mitano na mataifa makubwa kama Iran?
Labda kusoma madrassa sio kielimu dunia kujilinganisha na Israel,Iran ni taifa la wasomi
Marekani kaonywa na Washauri wa KIJESH pigania Mdomoni tu sio kwa MOTO !!!Hakuna nuclear facility ya Iran iliyoshambuliwa picha za satellite zinazonyesha iko salama, na kufikika kwake ni ngumu ndo maana USA anataka aingie na yeye kujaribu ila Israel kashindwa, unatuma drone ikashambulie Nuclear facilities utawezea wapi? Drones za Israel zimeishia kutunguliwa