Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Kwetu majini ni malaika wa shetani, pale shetani alipofukuzwa mbinguni washirika wake ndio wale so kwetu ni maadui ndio maana mbele ya maombi jini hutoka mwendo wa ngiri kishundu juuMajini ni viumbe kama wewe Wana fate kama wewe maana wanapaswa kutenda mema,wapo wahuni kama wewe na ndiyo maana Quran imekataza ushirikiano wa majini na binadam kumuasi Mungu, tatizo binadam mnadhani hii dunia yenu pekee yenu,majini na viumbe vyote vilikuwepo kabla ya binadam,so acheni kuwapiga mbwa barabarani bila sababu,dunia yetu sote
Acha uongo...Hiyo taarifa ya Cyprus huenda hamkuielewa au sasa na nyie mliingia kwenye huo mtego mnaossmaga ni wa propaganda. Issue ilikua ni waisrael walioko Cyprus ndio walikua wanarudi kwao, nyie mkawekewa picha kuwa ndio wanakimbia kwao
Soma hii habari from Cyprus
Link and pic
View attachment 3376032
Link
Israelis continue to travel home from Cyprus, 2,500 on Thursday
Israelis continued to make their way back home on Thursday, with 21 outbound flights scheduled for the day, as well as private vessels sailing out of Larnaca’s marina and a cruise ship out of Limassol port, all under tight security. The Crown Iris docked at Limassol port on Thursday to…cyprus-mail.com
Hakuna sehemu Quran imesema lugha ya mbinguni kiarabu, Mungu hahitaji lugha kuwasiliana na wewe, Quran Inasema kiyama mdomo utafungwa viungo ndo vitasema kila vilichofanya,ubboo unajua kiarabu?!Na mkaambiwa lugha ya mbinguni ni kiarabu 🧸Dah
Niache mjukuu wangu akili yangu inakuwa hopless 😁
Jini haogopi kelele,ule ni upunguani tu mnafanyagaKwetu majini ni malaika wa shetani, pale shetani alipofukuzwa mbinguni washirika wake ndio wale so kwetu ni maadui ndio maana mbele ya maombi jini hutoka mwendo wa ngiri kishundu juu
Huyo ni fake fanatical follower wa disgraced AyatollahMkuu umesema hamuogopi kifo, wewe ni muiran?
Hili unalizungumziaje kaka?Wanarudi sababu ya usalama wao. Labda wewe ungetaja sababu ni zipi
Endelea kuzifatilia, ila bado fake Jewish wanapelekewa moto.Kuna taarifa mbaya juu ya Ayatollah bado nazofuatilia
Hao ni Jewish tourists wanarudi makwao, hawa ninwakazi wa inchi zote, Iran Included, ila Ayatoulah anajificha kama panya na wamesha-mlocate
Maelfu ya Israelis wanakimbia nchi kupitia majini kuingia Cyprus, hio haina ubishi mkuu..
We unahisi maendeleo ni kumiliki missiles tu wakati dunia iko busy kufika Juani na ai pamoja na vitu vingine vingi,
Na Iran anatumia income nyingi anayopata baada ya kuuza mafuta kufadhili ugaidi na kutengeneza mabomu ndio maana raia wake wana maisha magumu
Pia vikwazo aliwekewa kiasi kwani alikuwa anafanya biashara nyingi zinazohusu nishati na madini
Fake AI inawatia moyo sanaTrump 😂 😂 😂 😂, Trumpmpenda vita vs Trump siyependa vita..
View attachment 3376100
Pia unaambiwa usipende kuchokoza kila mtu hata kama unaogopwa na jamii nzima sababu kuna siku utakutana na mwehu atakubonda hadi ufanane na mtu aliyegongwa na semitrela 😄😄Somo la leo: Ukiuwa kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.
Anaweza tengeneza missiles lakini vitu vingine vikamshinda mbona North Korea anatengeneza hadi nyukilia lakini vitu vingi hana uwezo navyo na raia wake ni choka mbaya ni vile tu Iran nguvu nyingi kaweka kwenye hivyo vitu kuliko sekta nyingine au niambie Iran aliwahi gundua nini au ana maendeleo ganiUmefika Iran ukathibitisha raia wa Iran wa maisha magumu?..
Akili ya kutengeneza hizo missiles na hata Nuklia unafikiri ni akili ya kawaida.
Watu wenye akili yakutengeneza missiles na kuenrich nuclear unataka kuniambia hawawezi kuwa na technolojia yakutengeneza vitu vingine wakitaka?
Huoni kama tunachokiona ni sign kama Iran angekuwa hana vikwazo kwa 40yrs angeweza kuwa mbali sana na kumiliki technolojia kubwa sana.
Unajua kama THAAD, David sling, Iron dome etc ni technolojia ya kisasa sana lakini bado mtu mwenye vikwazo vya zaidi ya 40yrs ameweza kutengeneza missiles za kuidodge, hii ni akili ya kawaida kweli.
Ur a desperate guy, wenywewe wa Iran wanaomba Israel imalize ujinga wa Ayatollah, we mmatumbi unajitesa na fake newsUmefika Iran ukathibitisha raia wa Iran wa maisha magumu?..
Akili ya kutengeneza hizo missiles na hata Nuklia unafikiri ni akili ya kawaida.
Watu wenye akili yakutengeneza missiles na kuenrich nuclear unataka kuniambia hawawezi kuwa na technolojia yakutengeneza vitu vingine wakitaka?
Huoni kama tunachokiona ni sign kama Iran angekuwa hana vikwazo kwa 40yrs angeweza kuwa mbali sana na kumiliki technolojia kubwa sana.
Unajua kama THAAD, David sling, Iron dome etc ni technolojia ya kisasa sana lakini bado mtu mwenye vikwazo vya zaidi ya 40yrs ameweza kutengeneza missiles za kuidodge, hii ni akili ya kawaida kweli.
Ur a desperate guy, wenywewe wa Iran wanaomba Israel imalize ujinga wa Ayatollah, we mmatumbi unajiesa na fake newsUmefika Iran ukathibitisha raia wa Iran wa maisha magumu?..

Tunashukuru umethibitisha sasa Israel ni Box tu mbele ya IranHii vita USA lazima aingie, gharama lazima itumike kuleta amani mashariki ya kati