City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu mm ngoja niwaache na hizi hisia zenu. Nimeona wote mna hisia kali, pro israet hisia ni kali na pro Iran wote hisia ni kali.Kiwango Cha raia wa Iran kukimbia kulinganisha na idadi yao ni ndogo kuliko Israel.
Israel asilimia kubwa wameamua kukimbia nchi.
Wengine wako wanataka kuvukia Sinai.
Wizara ya usafirishaji imekataza wao kuondoka na ikisema wataondoka wageni tu
Aingilie mara ngapi???,huo mpango wote ni USA huyo Israel ni puppet tu kwa lugha nyingie USA na intelligence yake iliyopo hapo Tel viv ndio imezidiwa.USA ikiingilia kati utawala wa iran utaanguka wataweka vibaraka wao..
NB.. Haya ni maoni yangu rejea iraq,libya.
Huo ni mtazamo wako kaka.Mkuu mm ngoja niwaache na hizi hisia zenu. Nimeona wote mna hisia kali, pro israet hisia ni kali na pro Iran wote hisia ni kali.
Yaishe mkuu. Tuendelee kusubiri
Hilo kombora jipya la Iran linalotawanyika mi mwenyewe niko Kwa Mromboo ila natamani kuhama je hao wa Israel itakuajeWameanza mgao wa AD
Common sense: unahisi kwa sasa command za Iran na Israel zitakua zinafanya kazi underground (bunkers) au kwenye majengo ya kawaida?Inaonekana hapo ilipokuwa Cyber command center karibu na hospital ya soroka, kutakuwa kume impact Israel na kuna watu muhimu itakuwa wamekufa.
Inawezejana pia ndio ilikuwa inaongoza hacking na cyber warfare dhidi ya Iran hasa zike juzi kuanzia Bank, Internet na matangazo ya TV
Babu anamiaka 86 sasa inasaidia nn kuua Babu mwenye miaka 86. Huyo Mzee akifikisha miaka 90 na uwezo wake wa kufikiri unapungua. Siwatulie tu miaka 4 ijayo utawala utabadilika.Hauoni Syria sahivi kumepoa wanaejoy maisha, me nachoamini Israel lengo lake kuu ni kumuangusha Ayatoulah sio kuharibu nyukilia wala nini
Sawa ngoja tusubiriHuo ni mtazamo wako kaka.
Mie sio pro Iran mie nasimama na ukweli tu.
Anyway sawa yaishe.
Wayahudi wa Buza wakaja na wallpaper humu eti limekuw intercepted kumbe ngoma inaenda zake atmosphere 😹😹Lile kombora lililorushwa jana angani na Iran inasemekana ni mind game kujambisha. Halikwenda kwenye target yeyote Israeli inawezekana lilipigwa mahala jangwani huko au baharini.
Likirushwa nyuma linaacha alama za moshi kama sperm hivi kulingana na shape yake.
Specs ni 1000km- 2000km angani then linarudi kupiga target.
Ayatollah hatumdai.
Kwa nini ichukue miaka mingi?Ila wewe huna hata ujualo, vita ya ukraine unaitazamaje kwa mfano
Iran kwa kauli ya Allahu Akbar inawapa ujasiri wakuvumilia ata kama wanakufa, haina tofauti na ile vita ya maji maji, wanasema maji maji huku wanakufa.Kiwango Cha raia wa Iran kukimbia kulinganisha na idadi yao ni ndogo kuliko Israel.
Israel asilimia kubwa wameamua kukimbia nchi.
Wengine wako wanataka kuvukia Sinai.
Wizara ya usafirishaji imekataza wao kuondoka na ikisema wataondoka wageni tu
Imedata, imepigwa chuma haielewiHii imehakiwa au ipo kwenye siku zake?😆
Hapo hulala askari wengi sana,walioumizwa Gaza hutibiwa juu,chini kambi mbalimbali, Iran kapeleka chuma kizito,msiba mkubwa hapoInaonekana hapo ilipokuwa Cyber command center karibu na hospital ya soroka, kutakuwa kume impact Israel na kuna watu muhimu itakuwa wamekufa.
Inawezejana pia ndio ilikuwa inaongoza hacking na cyber warfare dhidi ya Iran hasa zike juzi kuanzia Bank, Internet na matangazo ya TV
Maana yake Mungu mkuu kuliko chochoteIran kwa kauli ya Allahu Akbar inawapa ujasiri wakuvumilia ata kama wanakufa, haina tofauti na ile vita ya maji maji, wanasema maji maji huku wanakufa.
Itaisha wiki ijayo,kesho Iran watakaa mezani na EU,wiki ijayo USAHii thread inaweza kuvunja rekodi ya kuwa ndefu,maana vita hii itachukua miaka mingi kuisha,hii haishi mwaka huu wala mwakani,ni miaka,makobazi na makafiri kazi kwenu
Hiyo itikadi ndio inayowamaliza, unalengeshewa bomu badala ya kukimbia anabaki akitegemea muujiza.Maana yake Mungu mkuu kuliko chochote