Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Sio raia wote wapo kwenye mahandaki mbona ipo wazi kuna vifo vya raia karibu 10 mpaka sasa lakn wengi wapo kwenye mahandaki ndio maana number ya vifo ni ndogo
Hypersonic zina speed kuliko defence systems ,ndio maana Iran ana tuma hizo na normal missiles.Hotuba yake ndefu na yenye masikitiko makubwa aliyoitoa kuhusu birthday ya Trump. Ametumia muda mwingi kulalamika, na kujitilisha huruma ili Marekani, washirika wake na jumuiya nzima ya kimataifa waongeze juhudi za kumsaidia kuilinda Israel kutokana na kimbunga kikubwa cha makombora yalioshindwa kuzuiliwa na mitambo yao yote ya kuzuia makombora.
Jordan imejitahidi kufunga anga lake ili kuzuia vyuma visipite, lakini wapi wamechemsha na kujificha pasipojulikana, kuhofia mzigo usipotee njia na kitwanga ikulu ya mfalme wao.
Halikadhalika Marekani, UK, Ufaransa na wengineo wanashindwa kujua wazuie juu au chini. Maana mitambo yao ya kuzuia makombora inaonekana mdebwedo tu mbele ya vyuma vya waajemi.
Mpaka sasa anaeomba msaada wa kijeshi kutoka nje ni Israel ambayo haina vikwazo vyovyote vya kutengeneza, kupewa wala kununua silaha. Iran haijaomba usaidizi kutoka kwa yoyote, maana game ni dogo mno, watalimaliza wenyewe kimya kimya.
Mi nafikiri Netanyahu angeacha kulalamika kuhusu kinachoendelea nchini kwake, bali aendelee nacho mwenyewe kile alichokianzisha.
Inamaana Netanyahu alipoanza kuomba chai, hakujua kwamba huko mbeleni utamuunguza kama sio kumbabua kabisa!
Btw: Vita sio nzuri ni bora Mungu aingilie kati ili kunusuru vifo na uharibifu zaidi.
Haya mwenye akili tuambie wamekufa Mia ngapi???Hivi wewe Myahudi wa kwa Mtogole una akili kweli?
Ile mijengo yote ibomolewe vile halafu useme wamekufa 10 tu!
Hebu tumia akili
Mbona hapo mkuu bado watu hawajaona maajabu... hii ni rasha rasha... wanatoa yale makombora ya kizamani yana vumbi kusafisha store...Doh! Hypersonic si mchezo!
Vyuma vina speed hatari!
Israel kakalia kaa la moto!
Wanagombania mademuHawa wapumbavu wanagombania kitu gani
Kiduku anatamani hata punje ya mchanga iangukie nchini kwake na yeye akiwashe , na wanamjua alivyo mwehu ndo maana hawamchokozi hachelewi kutuma ICBM 3 tu kuifuta USA yoteChuma ndio kimeamka kinakula fegi kwanza kuweka akili sawa na yeye aanzie wapi.
👇
View attachment 3369442
UmejuajeKasharudi muda sana jana night alikuwa na kikao na kamati ya ulinzi
Na Israel waliamini kuwa Marekani angeingia kwenye vita na haijawa hivyo ndo maana Israel wameanza kupiga kila mahala wakati lengo lilikuwa ni vinu vya nyuklia.bado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.
Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.
Israel siku ya kwanza kipindi inalenga wale high ranking officers wa Iran waliokuwa wanaishi gorofani, wengi walikuwa wanaishi kwenye pent house lakini ni kwa ajili ya wanajeshi, walipiga wakaua vitoto 20 na watu 60..Wanabadilika maneno hawa jamaa so poa.
Nashauri kila update unayo weka uweke na muda na tareheTupo live muda huu Iran keshaanza kazi.
Huu uzi utakua na updates za kila kinachoendelea muda huu.
Update:Makombora ya Iran yameanza kutua
#BREAKING
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]
Channel 10 Hebrew:
Pakistan informed America that any nuclear attack on Iran would be met with a Pakistani nuclear attack on Israel.
Pakistan informed France and America that if any country intervenes directly in the war against Iran and Israel, the Pakistani army will enter the war with Iran against Israel.
Update:
#BREAKING
Direct hits on refineries/facilities in Haifa. Fires break out following strikes.
BREAKING: IRAN MAJOR SUCCESS IN ISRAEL BOMBING
This is the largest and most successful Iranian missile operation on Israel
✅ Great success for the Iranian missile strike on economic facilities in occupied Haifa
✅ Iranian missiles defeat Israeli air defenses
✅ Iran uses hundreds of military bases in various cities and provinces
Haifa's most important chemical and petrochemical plants:
✅ Bazan Group
✅ The largest oil refinery in Israel, with a refining capacity of approximately 9.8 million tons per year, and includes subsidiaries such as Carmel Olefins and Gadiv Petrochemical.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
UPDATES⚡⚡
#BREAKING
The head of the Shin Bet has resigned.
UPDATES:⚡⚡⚡⚡⚡
WIMBI LA PILI LA MAKOMBORA LINATARAJIWA DAKIKA CHACHE TENA NOW
⚡️ Hebrew media: The second wave of ballistic missiles has been launched from Iran and we will witness early warning sirens within 15 minutes.??
UPDATES:Wimbi la pili la makombora ya Iran limeanza kuwasili.
⚡️At least 4 buildings hit by Iranian missiles in Tel Aviv, at least 15 casualties
UPDATE:
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934039364566241286?t=a2y0BTLONIXuSj4VHe_Z-w&s=19UPDATE: hadi sasa Vifo ni vingi sana kwa upande wa Israel uharibifu ni mkubwa sana na itaichukua Israel muda mrefu kidogo kuweza kurudi kama zamani
UPDATES:
⚡️‼️🚨🇮🇷 BREAKING: Iran has officially established Air Superiority over Tel Aviv and northern Israel.
All Iranian air assets operate freely over the country.
Mh! Hivi hapo kulikuwa na Air defence kweli...!?Usiku wa leo umethibitisha tena kuwa Israel Air Defense System si lolote si chochote.View attachment 3369143
Iron Dome na THAAD zimetepeta badala ya kuintercept missiles za Iran ndio kwanza Iron Dome na THAAD zinaachia njia vinu vishuke
Hizi missiles za Iran zimepewa jina Shahed Haj Qassem with a range of 1000 miles
Hapa Marekani na washirika wake wakajipange tena kuja na mifumo itakayoweza kuzuia hypersonic missiles za Iran
Iran iendelee na hii consistency Wayahudi lazima wakae.
Myahudi asipewe muda wa kuvuta pumzi iwe ni vinu juu ya vinu
If you can't beat them join them
Nimeona Hypersonic zinavyotua Tel Aviv ile speed siyo ya mchezo mchezo kombora linatembea kichizi yan inavyoshuka kutoka angani we mwenyewe lazima upagaweHyoe
Hypersonic zina speed kuliko defence systems ,ndio maana Iran ana tuma hizo na normal missiles.