Karudi kusoma maelezo kwenye link uliyoleta.Araghchi: Iran ‘not prepared for talks’ while Israel’s attacks continue
Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi has told state television that he is not prepared for talks with anyone while Israeli attacks continue, ahead of a scheduled meeting with European counterparts in Geneva.
Al Jazeera
Nani kakudanganya? Iran wana mifumo ya ulinzi ya anga yenye nguvu tafuta baadhi ya clip zinazoonyesha wakiwa wana intercept makombora ya Israel kombora linatulizwa halitoi hata moshiSema iran naamini air defense system zao asilikia kubwa zitakuwa zimebigwa ,
Maana haiwezekani mtu anarusha ndege kutoka Israel mpk iran ndani ,
Na anazunuka vyovyote anavyotaka.
Mpk sasa.
Naona iran walijikita zaidi kwenye kujenga surface to surface missile,
Wakasahamu kulinda anga.
Nilitarajia kujibiwa hoja zangu kumbe wewe unaendelea na taarabu tu jibu hoja zangu taarabu zako baadaye!!Anachapwa Mbwa wenye mbwa wanaanza kupiga kelele
View: https://www.instagram.com/p/DLHaS70KDTf/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Nilikua naangalia mwandishi wa Habari anachambua, Weizmann institute pekee Laboratory 45 zimepigwa, kila laboratory ina cost $50M kujenga na $50M ku Equip vifaa hapo bado project na sample mbalimbaliIran naye mbona kaenda na alisema haendi mwenyewe pia kachapika, vita haina mwenyewe kijana
US hawezi ingia bila uwakika wa UK na France kumsaidiaAnayetafutwa kwenye hii vita kwa sasa ni US na jamaa ameshasanuka kitambo ndiyo maana maneno ni mengi.. japo mimi najua kabisa baba wa kweli hawezi kumwacha mtoto wake auwawe kwa dhihaka huku yeye anashuhudia na akijua wazi ndiye aliyemtuma akachokoze watu asiojua uwezo wao.
Baba wa kweli anajitoa sadaka kwaajilibya watoto wasio na hatia aliowaleta duniani pasi na wao kutaka haijalishi hata atauwawa kinyama.
Ikiwa basi US atabaki kurusha maneno badala ya kuchukua hatua kuinusuru Israel, sisi walala hoi tutajua wazi kabisa Iran nitaifa lenye nguvu kubwa duniani ila halitaki kujionyesha na moja kwa moja kawashinda US na Israel kwa wakati mmoja.
Nb. Kama israel inajiamini iache watu watupe habari za yanayojiri huko maana ukikinganisha air defence system ya iran inavyo nyakua makombora ipo speed sana kuliko lile litoy la israel walilopewa na US lipo slow kichizi mpaka lina boa
Wanatumia cluster bombs sasa hivi likipiga Target linachaguka na majengo ya jirani nayo yanapigika.Walilenga hilo jengo wakamiss target au ?
Walikua wanasema Iran anashambulia kila sehemu hovyo bila malengo, ile ilikua ni mbinu ya Iran kumrudisha adui nyuma ili ajipange maana shambulizi la Israel la kuua wale majenerali lilikua la kushtukiza Iran walikua hawajajipanga kwa vita.Nilikua naangalia mwandishi wa Habari anachambua, Weizmann institute pekee Laboratory 45 zimepigwa, kila laboratory ina cost $50M kujenga na $50M ku Equip vifaa hapo bado project na sample mbalimbali
View attachment 3376654
View attachment 3376655View attachment 3376657View attachment 3376658
So unaongelea Trilioni angalau 5 mpaka Trilioni zaidi ya 10 ya uharibifu kwa kombora moja tu.
Sio tu Hilo according to Analyst haya makombora mapya yaa impact radius ya mita 100, kama jana watu walivyokuwa wanasema Hospitali haiku pigwa ila ilikua ni impact tu.
Leo asubuhi walivyopiga limelipuliwa jengo moja tu ila mtaa mzima haufai watu 1000 wamekosa pa kukaa inabidi wawe evacuated.
Angalia hii impact ya kombora
View attachment 3376671
Wenzako wameyatimba na kama kutakuwa na mazungumzo Iran itakua na upper hand.
Maajabu ya Dunia Israel iishambulie Iran harafu Iran afanye maongezi na nchi za Ulaya!!!Iran imekubalika kuzungumza na EU members sio USA Wala Israel.
UK,France na Germany ndio waliomshawishi aje Geneva ndio AKAENDA.
Suez canal = Egpty hakuoigwani vita wala hakutuathiri sisi bali Ulaya na Marekani.sasa gharama za kumaliza vita mapema anatoa wap? lazima aongeze kodi pale suez canal
Kama wewe ndo upon Iran au ndo MOSSADNuclear facilities nyingi za iran zimepigwa mpk , kumuia ya kimataifa wanawasisi kuvuja kwa miozi.
Mpk sasa zimebaki site kama mbili.
Moja ipo chini ya mlima na nyingine Kuna scientist ya Russia walikuwa wanaunda ,
Ndo hivyo bado
Acha utoto wewe siku ya kwanza ndege 200 ziliingia na kuua Makamanda 30+ na. Wanasayansi 60+ kama wangekuwa na mifumo ya ulinzi wa anga iliyo makini wangeangusha ndege hata 100 wewe hushangai kwa nini hawa kuangusha hata ndege moja!Nani kakudanganya? Iran wana mifumo ya ulinzi ya anga yenye nguvu tafuta baadhi ya clip zinazoonyesha wakiwa wana intercept makombora ya Israel kombora linatulizwa halitoi hata moshi
Wana mifumo ya ulinzi wa anga mingi tu waliyotengeneza wenyewe ipo Bavar-373, Khordad-15, Mersad, Raad na S-300 waliyoinunua Russia.
Drones kibao za Israel zinatunguliwa huko Iran, kama Iran wangekua hawana mifumo ya ulinzi mizuri hadi muda huu Israel wangekua wamefanya uharibifu kila sehemu ya Iran maana wao ndo huwa wanajiona wana haki ya kupiga shule , hospital na maeneo mengine ya raia ila wakipigwa wao wanaona wanaonewa na wamefanyiwa uhalifu
Jamaa liongo, unaongea kama vile wewe ni insider.Iran haiwezi kuishiwa missiles.
Na wana makombora sehemu zingine hata maghala yake hayajafunguliwa.
Wakati unajiuliza hilo swali ujiulize nahili.From 200 ballistic missile per night to 1 missile, what happen to iran? Au ndio washabondwa kwenye kiini?
Wewe ebu nenda kawatafute watoto wenzako kwenye mabanda ya video muongopeane izo story za Rambo.Ivi unajua ndege 200 au unaongea tu.Acha utoto wewe siku ya kwanza ndege 200 ziliingia na kuua Makamanda 30+ na. Wanasayansi 60+ kama wangekuwa na mifumo ya ulinzi wa anga iliyo makini wangeangusha ndege hata 100 wewe hushangai kwa nini hawa kuangusha hata ndege moja!
Nijuavyo Mimi kuna drone moja tu ilianguka kama wewe una hizo clip ziweke hapa na sisi tuzione hizo drone kibao unazobwabwaja!!!
Kwa taarifa yako anga lote la Tehran liko chini ya majeshi ya Israel ni ujinga wako tu kufikiri kuwa itapiga shule au hospital. Israel inaweza kuzishambulia Hospital,Shule kama tu zinatumika kwenye shughuli za kigaidi au zinatumika kuyashambulia majeshi ya Israel.
Ameanza lini kiwa na busara ya kutoshambulia shule au hospital. Vita walifanya propaganda ila sasa aibu wanaipata,wanatamani kumwita Iran wamwambie yaishe ila wanaona aibu kuchekwa.Acha utoto wewe siku ya kwanza ndege 200 ziliingia na kuua Makamanda 30+ na. Wanasayansi 60+ kama wangekuwa na mifumo ya ulinzi wa anga iliyo makini wangeangusha ndege hata 100 wewe hushangai kwa nini hawa kuangusha hata ndege moja!
Nijuavyo Mimi kuna drone moja tu ilianguka kama wewe una hizo clip ziweke hapa na sisi tuzione hizo drone kibao unazobwabwaja!!!
Kwa taarifa yako anga lote la Tehran liko chini ya majeshi ya Israel ni ujinga wako tu kufikiri kuwa itapiga shule au hospital. Israel inaweza kuzishambulia Hospital,Shule kama tu zinatumika kwenye shughuli za kigaidi au zinatumika kuyashambulia majeshi ya Israel.