SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila iran sasa naona kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja naona wameshajua ni upotevu na mali tuuu.

Maana unarusha mengi mengine wanaanguka barabarani , sasa haisaidii.
We unadhani iran mjinga kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja? Wanafanya hivyo makusudi ili kuzichanganya na kuoutnumber israel intercepters...akirusha machache ni rahisi kuwa intercepted na mifumo ya ulinzi
 
Israel wamesema wanawazuia ili wasitengeze ,
Yeye aseme kama nani? Chanzo cha Iraq kupigwa ni Netanyahu. Aliwashawishi na kuwaaminisha US Iraq wana silaha za Nuclear. Halafu hizi vita vilipangwa miaka zaidi ya 20 iliyopita, US na Netanyahu waliplan vita na nchi saba Iraq,Syria,Lebanon, Sudan,Yemen, Libya na sasa ni Iran.Msikilize 4 star General wa US aliyekuwa akiongoza vikosi vya NATO.
Hamna sababu ya msingi bali watu wanatetea maslahi yao kimabavu na akitoka Iran atakaye fuatia ni Pakistan.
 
Chief kipigo Cha Jana kimeondoka na watu 600+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…