Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ukitumia uwezo wa kufikiri utajua tu ni zaidi ya 10, hilo halijitaji mjadalaIpo wazi wakifukua vifusi probably kuna maiti zitapatikana but for now number ni 10
Haya wewe tuambie wamekufa wangapi maana umejitapa kua una akili sana eheee mwenzetu tujuze na sie
Source "trust me bro"Ukitumia uwezo wa kufikiri utajua tu ni zaidi ya 10, hilo halijitaji mjadala
Sema we jamaa mtetea china na mpinga USA, muda mwingine uwe unaongea facts upunguze ushabiki kama umetazama video kwa yale makombora Iran alirusha isingekuwa iron dome si Israel ingekuwa kifusiUsiku wa leo umethibitisha tena kuwa Israel Air Defense System si lolote si chochote.View attachment 3369143
Iron Dome na THAAD zimetepeta badala ya kuintercept missiles za Iran ndio kwanza Iron Dome na THAAD zinaachia njia vinu vishuke
Hizi missiles za Iran zimepewa jina Shahed Haj Qassem with a range of 1000 miles
Hapa Marekani na washirika wake wakajipange tena kuja na mifumo itakayoweza kuzuia hypersonic missiles za Iran
Iran iendelee na hii consistency Wayahudi lazima wakae.
Myahudi asipewe muda wa kuvuta pumzi iwe ni vinu juu ya vinu
If you can't beat them join them
Umejishindia kuingia kwenye List ya watu ambao nitawanunulia soda leoMeya wa Israel: Nimeona mengi, lakini mashambulizi yaliyofanywa na Iran sijawahi kuyaona
[https://media]
Meya wa mji wa Israel wa Rishon Letzion wa kusini mwa Tel Aviv ameeleza kupigwa mshangao na kushtushwa na kiwango kikubwa cha uharibifu uliosababishwa na mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: Sijawahi kuona uharibifu mkubwa kama huu.
Leo Jumamosi, shirika la habari la IRNA limenukuu duru za habari za Kizayuni zikitangaza kuwa, meya wa mji wa Rishon Letzion ulioko kusini mwa Tel Aviv alisema jana Ijumaa kwa njia ya video kwamba: "Hii ni siku ngumu na yenye uchungu sana kwetu. Nilikuwa nimeona vitu vingi sana lakini sijawahi kuona uharibifu mkubwa kama huuu; matukio haya yanauma sana."
Licha ya kwamba utawala wa Kizayuni unachuja mno habari na unamtia mbaroni mtu yeyote anayepiga picha athari za mashambulizi ya Iran, lakini pamoja na hayo jana Israel ilikiri kwamba katika siku ya kwanza ya mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran, Wazayuni 80 wameangamizwa na kujeruhiwa huku hali ya baadhi ya majeruhi ikiwa mbaya sana.
Jana usiku vyombo vya habari vya Kizayuni viliripoti kuanza wimbi la tano la mashambulizi ya makombora ya Iran na kutangaza kuwa, wimbi la tano la makombora ya Iran limepiga maeneo yote ya Israel.
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, wimbi la tano la makombora ya Iran limepiga maeneo ya Tiberias, Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni pamoja na Galilaya ya Chini. Ving'ora vya tahadhari vilisikika katika maeneo hayo vikifuatiwa na sauti za miripuko mikubwa. Vyombo vya habari vya Kizayuni vilitangaza kuwa kutokana na udhibiti mkali, picha za vipigo vya makombora ya Iran kwenye maeneo hayo ni marufuku kuchapishwa na kusambazwa.
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, wakati wimbi la nne la makombora ya Iran limepiga maeneo ya kaskazini mwa Israel, wimbi la tano la makombora hayo limepiga maeneo yote ya Israel hata yale ambayo hayajawahi kushambuliwa, tena kwa usahihi mkubwa.
View attachment 3369476View attachment 3369477
Amani haiwezi kutokea Mashariki ya kati maana Israel akiua watoto, kupiga hospital na makazi ya watu huko Gaza haionekani kama ni kosa, sasa kakosa adabu kaanza kwenda kumpiga hadi Iran bila sababu za msingi, hii Unfair treatment iliyopo Iran hawezi kukubaliana nayo na yeye lazima apige makazi ya watu tu maana amevumilia sana sasa kachokaKuna haja Dunia kuwa fair na kuanza kutatua hii migogoro ya mashariki ya kati kwanamna yenye usawa vinginevyo hakuna siku mashariki ya kati itakuwa na amani mpaka mwisho wa Dunia.
Mkuu Pakistan vita ni nyumbani kwao, hawa wamepigana miaka nenda miaka rudi na wana silaha nzito mpaka nuclear bombs, yaan hawa jamaa wana wataalam kinyama sana, na for your information India na wao ni 50-50 sikwambii kataifa kadogo kama Israel
Yale makombora ya Iran wachambuzi wanasema yana shockwave ya juu sana kuweza kupasua masikio kama upo karibu.. kuvunjamilango au madirisha, pia yanaweza kusababisha uharibifu wa viungo vya ndani hata kama vipande vya kombora havijakugusa..Taarifa kamili utapata wakishafukua vifusi kutoa mizoga ya Mazayuni
We unajuaje kama sipo Iran.. we unafikiri ukiwa huko Buza na wengine humu wanaishi Buza? huu mtandao kuna ambao wapo US, EU, UAE, Asia, SOuth Africa ,n.k na wanachat humu kiswahili..Unaongea kama upo iran
Bangi mbaya...Tangu kuanza SMO kati ya Russia na Ukraine, pamoja na yanayoendelea hapo nyumbani kwa Israeli muda huu, unagundua kuwa West ni mabingwa wa propaganda za kivita. Huyu Israel ukimsoma kwenye hadithi za THE BOLD, utahisi ni watu flani maalum sana kumbe hata tanzania tunaweza mama akitaka
Sema we jamaa mtetea china na mpinga USA, muda mwingine uwe unaongea facts upunguze ushabiki kama umetazama video kwa yale makombora Iran alirusha isingekuwa iron dome si Israel ingekuwa kifusi
Acha kunidhalilisha mimi nipo naangalia kichapo anachokipata mfadhili mkuu wa magaidi duniani!! Kwa kweli wanavyopigwa mpaka Iran hawaamini kinachowapata. Makamanda wao wakuu zaidi ya 30 wameuwawa kijinga sana!!Namuona Echolima1 ameamua kujishughulisha hataki tena hizi habari za mzayuni....
View attachment 3369444
Swali zuri sana. ππππ Itakuwa wanafukua kuokoa furnituresKama people zipo kwenye mahandaki kwa nini vikosi vya uokoaji viko busy kufukua vifusi ili kuokoa?
Na video zinazosambaa kwenye mitandao zikionyesha magofu ya Israel zimerekodiwa na akina nani kama raia wote wamejificha kwenye mahandaki?