Huyu Muajemi ana nia gani kutumia makombora kama hayo!?Yale makombora ya Iran wachambuzi wanasema yana shockwave ya juu sana kuweza kupasua masikio kama upo karibu.. kuvunjamilango au madirisha, pia yanaweza kusababisha uharibifu wa viungo vya ndani hata kama vipande vya kombora havijakugusa..
Tumeona wengi kasi yake linapokwenda kupiga chini ile velocity linavyoshuka likipiga chini unajisaidia pasipo kujua..
Kuna nyumba zimeharibika kwa sababu tu ya blast overpressure.. yaani nyumba haiguswi lakini inaachia nyufa..
Kuna watu Israel wamepata maumivu ya kichwa, wengine wanapoteza fahamu, wengine hadi asubuhi hii wanahisi kizunguzungu mtu anayumba kama amekunywa ulanzi..
Kuna ambao walipata mshtuko na moyo unapiga isivyo kawaida, waliokuwa karibu na yalipokuwa yanatua inasemekana kuna wengine wamepata PTSD..kwa maana yale makombora sauti yake ni zaidi ya dB 140 ambacho ni kikomo kwa masikio ya binadamu kuweza kuhimili... ukiwa kariu kuwa kiziwi ni suala la kawaida..
Baadhi waliokuwa na shinikizo la damu wamekata moto..
Wayahudi mpaka sasa wamechanganyikiwa.. hali ni mbaya sana huko...
Hayasemwi mengi mitandaoni baada ya Israel kuzuia vyombo vya habari kuonyesha casualties...
Yale makombora ya Iran wachambuzi wanasema yana shockwave ya juu sana kuweza kupasua masikio kama upo karibu.. kuvunjamilango au madirisha, pia yanaweza kusababisha uharibifu wa viungo vya ndani hata kama vipande vya kombora havijakugusa..
Tumeona wengi kasi yake linapokwenda kupiga chini ile velocity linavyoshuka likipiga chini unajisaidia pasipo kujua..
Kuna nyumba zimeharibika kwa sababu tu ya blast overpressure.. yaani nyumba haiguswi lakini inaachia nyufa..
Kuna watu Israel wamepata maumivu ya kichwa, wengine wanapoteza fahamu, wengine hadi asubuhi hii wanahisi kizunguzungu mtu anayumba kama amekunywa ulanzi..
Kuna ambao walipata mshtuko na moyo unapiga isivyo kawaida, waliokuwa karibu na yalipokuwa yanatua inasemekana kuna wengine wamepata PTSD..kwa maana yale makombora sauti yake ni zaidi ya dB 140 ambacho ni kikomo kwa masikio ya binadamu kuweza kuhimili... ukiwa kariu kuwa kiziwi ni suala la kawaida..
Baadhi waliokuwa na shinikizo la damu wamekata moto..
Wayahudi mpaka sasa wamechanganyikiwa.. hali ni mbaya sana huko...
Hayasemwi mengi mitandaoni baada ya Israel kuzuia vyombo vya habari kuonyesha casualties...
Tupo live muda huu Iran keshaanza kazi.
Huu uzi utakua na updates za kila kinachoendelea muda huu.
Update:Makombora ya Iran yameanza kutua
#BREAKING
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]
Channel 10 Hebrew:
Pakistan informed America that any nuclear attack on Iran would be met with a Pakistani nuclear attack on Israel.
Pakistan informed France and America that if any country intervenes directly in the war against Iran and Israel, the Pakistani army will enter the war with Iran against Israel.
Update:
#BREAKING
Direct hits on refineries/facilities in Haifa. Fires break out following strikes.
BREAKING: IRAN MAJOR SUCCESS IN ISRAEL BOMBING
This is the largest and most successful Iranian missile operation on Israel
✅ Great success for the Iranian missile strike on economic facilities in occupied Haifa
✅ Iranian missiles defeat Israeli air defenses
✅ Iran uses hundreds of military bases in various cities and provinces
Haifa's most important chemical and petrochemical plants:
✅ Bazan Group
✅ The largest oil refinery in Israel, with a refining capacity of approximately 9.8 million tons per year, and includes subsidiaries such as Carmel Olefins and Gadiv Petrochemical.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
UPDATES⚡⚡
#BREAKING
The head of the Shin Bet has resigned.
UPDATES:⚡⚡⚡⚡⚡
WIMBI LA PILI LA MAKOMBORA LINATARAJIWA DAKIKA CHACHE TENA NOW
⚡️ Hebrew media: The second wave of ballistic missiles has been launched from Iran and we will witness early warning sirens within 15 minutes.??
UPDATES:Wimbi la pili la makombora ya Iran limeanza kuwasili.
⚡️At least 4 buildings hit by Iranian missiles in Tel Aviv, at least 15 casualties
UPDATE:
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934039364566241286?t=a2y0BTLONIXuSj4VHe_Z-w&s=19UPDATE: hadi sasa Vifo ni vingi sana kwa upande wa Israel uharibifu ni mkubwa sana na itaichukua Israel muda mrefu kidogo kuweza kurudi kama zamani
UPDATES:
⚡️‼️🚨🇮🇷 BREAKING: Iran has officially established Air Superiority over Tel Aviv and northern Israel.
All Iranian air assets operate freely over the country.
Unadhani netanyahu mjinga kukimbilia uhamishoni anaogopa mzigo bila kikomoHuyu Muajemi ana nia gani kutumia makombora kama hayo!?
😂😂😂
Kwa sababu Israel wametaka ayatumie...Huyu Muajemi ana nia gani kutumia makombora kama hayo!?
😂😂😂
We kombora shock wave yake tu inakuharibu mwili!?Unadhani netanyahu mjinga kukimbilia uhamishoni anaogopa mzigo bila kikomo
Ila kaka kwa maelezo ya makombora uliyonipa mmmh hapana Iran amefanya exaggeration kaka.Kwa sababu Israel wametaka ayatumie...
Anachofanya Iran na mimi ndicho napendelea, Israel lugha anayoielewa ni kipigo tu, Iran inachofanya sasa ni kuipiga Israel hadi ishindwe kabisa kuhimili mapigo...
Kaingia Gaza kaua watu 50,000 na kila siku anaua..
Kaingia Lebanon kaua..
Kaingia Syria kaua..
Kaingia Iraq kaua..
Kaingia Yemen kaua..
Sasa alitaka kuingia Iran akafanye hivyo, kaanza mwenyewe kuivamia Iran, kaua wananchi, kaua wanasayansi wa nuclear, kaua high ranking officers wa Iran, kapiga nuclear sites, kapiga military bases pasipo hata kuchokozwa..
Hivi hapo Iran ifanye nini?
Ko mkuu upo Iran ivi saizi bangi mnatafuta.....We unajuaje kama sipo Iran.. we unafikiri ukiwa huko Buza na wengine humu wanaishi Buza? huu mtandao kuna ambao wapo US, EU, UAE, Asia, SOuth Africa ,n.k na wanachat humu kiswahili..
Si iron dome tu ila mfumo wowote duniani haupo wa kuintercept hypersonic missiles unless ubahatishe but pia makombora mengi anayotumia Iran ni ballistic na video zinaonyesha yakizuiwa na mengine yalipenya japo pia inasemekana alitumia some hypersonicIron Dome haina uwezo wa kuzuia hypersonic missiles kwa sababu ya speed na complexity yake
Hizo air defense system za Mwamerika haziwezi kufua dafu hata kidogo
Marekani mwenyewe mpaka sasa bado yuko kwenye R&D ya hypersonic missiles
Sisi tunafurahia yakipenya, Israel is a terrorist stateSi iron dome tu ila mfumo wowote duniani haupo wa kuintercept hypersonic missiles unless ubahatishe but pia makombora mengi anayotumia Iran ni ballistic na video zinaonyesha yakizuiwa na mengine yalipenya japo pia inasemekana alitumia some hypersonic
mkuu unakuja kimyakimya kwa kunyata unajibu comment alafu unapotea🤣Acha kunidhalilisha mimi nipo naangalia kichapo anachokipata mfadhili mkuu wa magaidi duniani!! Kwa kweli wanavyopigwa mpaka Iran hawaamini kinachowapata. Makamanda wao wakuu zaidi ya 30 wameuwawa kijinga sana!!
Hapana vita kati yao sio ngumu, ugumu wanaleta washirika. Kwa vile hii kaanzisha Israel ningeomba washirika wake wasimsaidie Ili apambane na Iran tuone nguvu yake halisi.Iran Ajipange Maana vita na Israel ni ngumu
Israel anafanya vizuri sana, ni wazi ilikuwa inajulikana Iran ana missiles nyingi na hata US kuna wakati aliingia woga. Huwezi kuua top cream ya jeshi, wanasayansi na kushambulia vinu vya nuclear afu utarajie majibu mepesi. Israel wamalizie vinu vilivyobaki vya nuclear afu waanze ku de escalate.Sababu ya kumshambulia Israel anayo hasa hasa kulipiza uonevu wa wanaGaza.
Sema nimegundua kwamba Israeli, US na West Europe ni Evils. Kila wanayetaka kumshambulia huwa anajizuia sana kuwajibu mpaka inafikia too much. Ayatollah amejitahidi sana kuiasa jamii ya kimataifa kuingilia uchokozi wa Israeli ila Trump kwa kuona kete ziko upande wa Israel, kapotezea na kijembe juu. Kwa sasa mwanaye anapigwa, anaingilia kati wakati Muajemi damu imeanza kuchemka.
#istandwithiran
Lizee hili Halina akili kabisa unalisifia bure kabisa!!! Hebu sikiliza UHARO linaoutoa!!! Bora waliue tu likapate wale mabikira 72 na sijui kama litaweza hata bikira mmoja!!Sahihi, yule mzee ana busara..
Lakini kwa kauli aliyozungumza juzi sikuwahi kumuna yule mzee ameongea kauli tata kama ile..
Wanajeshi wa Iran walikuwa wanasubiri hii vita maisha yao yote.. na wanaitumia nafasi vilivyo..
Huwa hawaelewi haya mambo. Huwa wanaishia kukurupuka. Kwa kuongezea toka Russia imeshambuliwa kwenye kambi zake na ndege zake kuangamizwa, mpaka sasa haijajibu bado inajipanga.Acha kubadilisha maneno siku ya kwanza ya shambulizi la Israel mlidai mifumo yote ya ulinzi na kurushia makombora ya Iran imeharibiwa haiwezi kujibu au sio nyinyi?
Tukiacha ushabiki Iran ilipigwa pigo la kushutukiza na lisilo tarajiwa kabisa hivyo ilikuwa ni razima wajipange kwanza ndo waanze kufikiria mengine.
Israel ilipigwa ambush ya kushutukiza na hamas lakini iliichukua siku 2 kuajipanga na kuanza kujibu mapigo,ina maana Hamas ingekuwa ni jeshi kamili lenye miundo mbinu na silaha zinazo hitajika wenda wangeiteka mpaka Jerusalem ndani ya mda mfupi.
Uliliona Shambulizi la Ukraine kwa Urusi kwenye jimbo la Kursk iliichukua wiki 2 kuanza kujibu mapigo ya kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Ukraine.
Hii vita ni ngumu sana kwa pande zote na ndio maana jana Israel imeiomba Marekani hiingilie kati Marekani ikakataa.
Irael anapigwa pia kutokea Gaza, Yemen na Syria......Yemen wamerusha makombora ya masafa marefu ya kutosha. Msaada ni lazima.bado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.
Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.
Hili ndio linatakiwa kwa pande zote, walete taarifa sahihi.Kikubwa tuendelee kupata taarifa zenye ukweli na uhakika Bila kuegemea upande wowote!