SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Yale yale kwamba yupo ana tweet yuko shimoni? 😅😅😅
Source yako ni deep sana mkuu.
 
Video footage: Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora eneo la baghestan shahriar Tehran
 

Attachments

  • 2025-06-21_17-52-50_0.mp4
    478.8 KB
Marubani 16 wa Kiisraeli wako angani juu ya Iran - utawala uleule ambao ulitumia miaka mingi kuwakandamiza wanawake. Sasa wamepindua meza wako futi 30,000 wanaitwanga Iran kutoka juu.

Mytake:Israe kweli ni kiboko wanawatumia mpaka wanawake kuwapiga Jeshi lililokuwa linasifiwa na watu kupita kiasi leo linapigwa na wanawake aibu tupu inabidi Ayatollah Khamenei atoe Fatwa!!!!
 

Attachments

  • IMG_3424.jpeg
    185.1 KB · Views: 18
Video footage; Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la Isfahan
 

Attachments

  • 2025-06-21_17-55-27_0.mp4
    368.8 KB
According to Iran wamehamisha vinu vyao, probably role ya Mrusi Iran ni hio,

Na pia toka Zamani vinu ambavyo vipo juu ya Ardhi ni geresha tu, kila mtu anajua project zote za Iran zinafanyika chini ya Milima.
Mnasema Iran hakuna mtandao ila cha ajabu habari zao ndio zinaongoza kupatikana humu
 
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kwenye checkpoint inayoelekea ilipo kambi ya makombora ya Iran iitwayo Imam Alli huko korramabad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…