Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Sijui itatuchukua miaka mingapi kufika hapo. Na tukifika sijui wao watakuwa wamefika wapi
Nabii pole sana ndani ya saa 24 zilizopita Israel ndio inayochezea kichapo ulitaka updates zipi zaidi?Mbona updates zako ni za upande mmoja tu? Mbona huelezei kichapo anachopata Iran?
So poa kombora shock wave tu linakupa internal bleeding 😂😂😂Wayahudi wataelewa kwa nini Netapaka alikimbia tangu juzi na watoto wake wanaishi Miami, Marekani
Israel hana uwezo wowote ...ni uongo mtupubado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.
Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.
Tanzania twaweza kabisa kufikia hapo hata leo tukiamua.Africa ni nchi chache sana zinaogopeka hasa SOUTH AFRICA,TUNISIA,na Egypt.
Bongo kufika huko labda miaka 3000 ijayo,wenzetu watakuwa wamehama dunia hii!
Elimu yetu haituwezeshi sisi kufika huko mkuu!
So poa kombora shock wave tu linakupa internal bleeding 😂😂😂
Haya makombora yamefungwa jini subiani.
Safari hii wataona kilicho mtoa nyani gilabuMakombora ya Iran wachambuzi wanasema yana decoy, kombora linakuwa na msafara wa kombora la bandia, yanafanana muonekano, uzito na mwendo..
Hizo picha tunazoona hayo makombora yanapita angani kama unaona yote yanaenda kwenye target moja ujue yote si makombora , huwa yana msafara kama rais, decoy zinakuwa mbele, air defense inalenga decoy halafu lenyewe linatua..
Hizi decoy hazina mlipuko, ndio maana air defense za Israel, USA, EU na maaifa ya kiarabu kwa pamoja wanashindwa kuyazuia.. ukiachilia yanasafiri katika msafara na decoy, hayomadude ni ballistic, yanaweza ku maneuver.. kwa kasi ya ajabu..
Hivyo hizo picha unaona kama AIr defense zinazuia makombora ya Iran , ni decoy zinalengwa...
Ndio maana wayahudi toka Namtumbo wanasema Iran missiles zake ziakuwa intercepted, aisee, ku intercept makombora ya Iran ni kazi.. chuma moja linatembea na decoys kama 10, halafu decoy zina kiherehere zipo mbele...
Israel bado haijaona maajabu..
Mzee mstaarabu sana huyu, Mungu amtunze, hadi kuona anazungumza hayo ujue amekasirika, lakini naamini huyu mzee akifariki, Iran kuna vichaa ambao hamtpenda watakachofanya..Lizee hili Halina akili kabisa unalisifia bure kabisa!!! Hebu sikiliza UHARO linaoutoa!!! Bora waliue tu likapate wale mabikira 72 na sijui kama litaweza hata bikira mmoja!!
Hata UG tulishambulia mpaka miti ndio tukapata ushindiShida ni kuwa wanajipigia tu kama wehu
Alikuambia tupe siriEndeleeni kujidanganya,Netanyahu sio mjinga kuanzisha peke yake vita kubwa kiasi hiki.
Yes hii ndio pointi Israel akishagusa makamanda na vinu pamoja vistol vyao maana air defence ashagusa zote anaomba amani kama alivyo wafanya hezboallahIsrael anafanya vizuri sana, ni wazi ilikuwa inajulikana Iran ana missiles nyingi na hata US kuna wakati aliingia woga. Huwezi kuua top cream ya jeshi, wanasayansi na kushambulia vinu vya nuclear afu utarajie majibu mepesi. Israel wamalizie vinu vilivyobaki vya nuclear afu waanze ku de escalate.
Tanzania twaweza kabisa kufikia hapo hata leo tukiamua.
Bajeti ya Ulinzi ni muhimu ikaangaliwa kwa weledi na utaalam na si kwa kutumia darubini.
Propaganda nyiiingiiiii.Leo majira ya saa 4 za asubuhi, Jeshi la Israel limeamuru raia wa Iran wanaoishi karibu na vituo vyovyote vya zana za kijeshi kuhama, kama moto haujashuka.
Wakati huo huo Iran imeanza jitahada za kuomba cease fire.
View attachment 3369555
Iran inasaidiwa kwa kuishambulia Israel, mfano Yemen imerusha Makombora ya Masafa marefu inchini Israel.Kwahiyo Iran anasaidiwa na Hamas, Yemen, wahuni hapo Syria na Hizbollah.
Huku Israeli ikisaidiwa na USA, UK, France na Germany.
Wataalam wapo lakini kwa yale yanotokea nchini Tanzania kwa sasa yakatisha tamaa sana.Kwa elimu yetu hii na namna tunavyoajili wataalamu wetu,Tanzania itatuchukua miaka mingi sana kuwa kama hao jamaa,hayo mataifa yana kiwango cha juu kabisa cha uzalendo kwa nchi zao