SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Acha kuongopa wewe.
Mie nipo natizama Al Jazeera hapa Iran kuliposhambuliwa kote wameonesha ground images na satellite images.
 
Hili suala la B-2 kupiga kinu cha nuclear cha Iran kuna watu niliwaambia hapa, GBU-57 bado haiwezi kuharibu hivyo vinu... na analysis niliyoweka hapa jf ndicho kitu kimetokea, wamepiga pa kuingilia lakini mitambo ya ndani yote ipo salama...

Niliandika hivi.. kwenye hii post hapa 👇

Na kweli Israel haina kombora kufumua hivyo vinu hadi US imeingilia kati na kutumia GBU-57, na bado hawajafanikiwa kuharibu hivyo vinu...



Israel na US hakuna walilofanikiwa, hakuna cha regime change wala kuzuia Iran kuwa na nuclear, vyote hivyo wamefeli na ni aibu..

Kwa aibu Trump anaomba amani vita iishe, Trump ni kituko, amefahamu fika hawatoweza kuharibu mpango wa nuclear wa Iran. Pia wamefahamu kuwa hawana uwezo wa kuharibu hivyo vinu pasipo kushuka ardhini...

Nionacho US ameamua walau aonekane ameishambulia Iran, walau aonekane hajarudi nyuma na hajaiogopa Iran, mara tu baada ya Trump kushambulia vinu, Trump anaomba amani.

Ukweli ni kwamba hii ni namna ya kuiokoa Israel, US na Israel wamepiga mahesabu ya kujumlisha,kutoa , kugawanya na kuzidisha wameona hii vita ni hasara kubwa, Israel imeona haiwezi kuhimili, Trump pia ameona hana support ya wananchi na wabunge...

Wananchi wengi wa Israel maelfu wanakimbia nchi, makombora yanashuka kwa hali ya kutisha, licha ya kambi za US zilizopo kuanzia Iraq, Jordan na meli zilizopo baharini zinazozuia na mitambo ya ulinzi wa anga ya israel bado imefeli kuzuia...

Nionacho Iran ishambulie zaidi kwa makombora mazito zaidi Israel kabla hawajafikia makubaliano, Israel inajitahidi kuepuka hii vita kwa sababu wanaona wanashindwa na nchi inazidi kuharibiwa, wananchi wanazidi kukimbia nchi...

Iran ihakikishe Israel inalipa kwa ilicho kianzisha... Iran iwatandike vilivyo.
 
Vinu viko salama na wanasema hakuna madhara ya ndani katika Natanz,Fordow na Isfahan nuclear plants.
Na Abbas Araghchi amesema anasitisha mipango yote ya amani kwaajili ya ulipaji kisasi juu ya wao kushambuliwa.
Inaonekana Iran hataki kusarenda.
Yah, Israel inaepuka hii vita, lakini kabla hajakimbia kijanja, Iran ihakikishe uchumiwa Israel unakwenda chini kabisa..
 
Yah, Israel inaepuka hii vita, lakini kabla hajakimbia kijanja, Iran ihakikishe uchumiwa Israel unakwenda chini kabisa..
Naona wanaanza kujikanyaga wanasema eti mpango sio kufanya regime change 😂😂😂😂😂.
Naona Netanyahu na Trump ni makanjanja tu.
Ayatollah amesema kila shambulizi litalipizwa.
 
Unaongea kimahaba badala ya fact.
Hao raia na mayor wa miji inayoshambuliwa hapo Israel wanakiri kuwa hawakuwahi kukumbana na mashambulizi kama haya, shambulio la Oktoba 7 lilikua dogo sana ukilinganisha na hili.
USA imefikia hatua hadi ya kuingilia kati,wewe unataka kusema nini wewe mmakonde wa Nanjilinji!?
 
Ni kweli ilitarajiwa USA ndo wanaweza kufanya shambulizi linaloweza kuharibu Nuclear Facilities lakini hadi muda huu wamefeli pia na ndo ilikua karata ya mwisho ya kuharibu mpango wa nuclear wa Iran, hadi muda huu lengo la kuanzisha vita hii limefeli na karata ya mwisho imegonga mwamba kinachoendelea kwa sasa ni Israel kupata hasara na military bases za USA zilizo karibu na Iran ziko kwenye hatari ya kushambuliwa
 
Oyaa hii vita bado mbichi kuna kiongozi mkubwa anakufa soon
Kiongozi wa Iran kashanusa harufu ya hatari, na inasemekana kashaanza kupoint warithi wake. Kinachowasumbua Iran ni mamluki, na wakikubali tu kufanya mageuzi ya kiutawala basi ndio mwisho wa Iran katika umaridadi wa utengenezaji wa Silaha, na hapo ndio itakuwa anguko lao kiuchumi.

Kununua silaha kwa kiwango kikubwa kwa wengine ni utegemezi ambao si mzuri.
 
Ivi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.
 
Acha kuongopa wewe.
Mie nipo natizama Al Jazeera hapa Iran kuliposhambuliwa kote wameonesha ground images na satellite images.
We mbona naye mbishi sana, Iran huwa anaonyesha matukio mangapi yanayoendelea kwake, jana kutwa nzima kaliwa kiboga si alikuwa kimya aliripoti chochote, mbona mnapenda muonea Israel taifa teule
 
Wale wadada wamepumzika kwa kazi nzito ya jana ila si muda wanarudi mzigoni, shambulio moja tu kelele nyingi lenyewe mnarusha ilimradi tu mabomu yaanguke Tel Aviv
 
Ivi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.
Bunker buster kama hio GBU 57 ina uzito takribani tani 14, je B-2 spirit inaweza kubeba hizo bunker buster ngapi? B-2 inabeba tani 20, hivyo haina uwezo wa kubeba hayo makombora mawili, unless ziwepo B-2 nyingi.. kitu ambacho ni risk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…